Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa kuwaunga mkono Congo. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama SADC ni Rais Samia!

JK kikwete alikuwa kanali wajeshi je bi tonzo alishawai pita hata jkt kwl?
 
Wezi wa Madini ya Congo 🇨🇩 wanatoshana nguvu 😳🙄 !
Gaza kumepoa kidogo sasa ni Goma !
Sisi tutajaribu kusuluhisha tu na si vinginevyo !
 
Naona Ajira za JW zijazo zitachukua vijana wengi zaid ata 8000 maana ukichekq na nyani utavuna mabua, tishekedii alijisahau anakuja kutangaza ajira za vijana kujiunga na jeshi kipindi mambo yasha mfika shingoni
 
KAGAME anaumwa condition inaitwa MEGALOMANIA (someone who has an unnaturally strong wish for power and control, or thinks that they are much more important and powerful than they really are) without treatment, ni changamoto ni kubwa sana, hasa ku destabilise majirani zake wote!!
 
Waziri wako wa ulinzi una mjua ni jinsia Gani?
 
JWTZ haiwezi kuwa imara chini ya amiri jeshi mkuu mwanamke wa kizanzibari
 
Kwenye hili hakuna kumwachia Mungu.

Amiri Jeshi Mkuu wetu anadharauliwa hivi alafu tukae kimya? Hapana
Mbona Lissu na Heche wanamdharau na kumfedhehesha Amiri Jeshi Mkuu wetu, ulitaka JWTZ ishughulike nao. Hiyo siyo kazi ya JWTZ na wala siyo kazi ya Amiri Jeshi Mkuu wetu.

Kazi ya JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi yetu na kuhakikisha nchi yetu iko salama. Yanayotokea huko Rwanda, Congo na kwingineko si jukumu la jeshi letu.
 
Nawakumbuka hawa watabe enzi za Jk, sielewi kwanini JWTZ imekuwa hivi nasikitika sana pia nakumbuka operations za Comoro, Shelisheli na Bujumbura, JWTZ wakati huo nitaikumbuka Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…