Kagame awatuhumu SADC na Ramaphosa kuwaunga mkono Congo. Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama SADC ni Rais Samia!

Tumeshafanya operations Comoro, Shelisheli, Mozambique na Bujumbura izo nchi ni Tanzania..?
 
Ngoja tusubiri Mwenyekiti wa SADEC atasemaje
 
Wasikwepe wajibu maswali ya Paul Kagame

Rais Paul Kagame awauliza marais wenzie swali gumu bila kupepesa macho, kuwa hali iliyopo Mashariki ya Kongo walikuwa hawalitegemei ?

30 January 2025

Hotuba ya karne ya Rais Kagame kwenye Mkutano wa 24 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Mashariki mwa DRC.


View: https://m.youtube.com/watch?v=hMydW6SZEWM
Hii jumuiya ya EAC ilitamani nini, EAC ikafanya kipi na kufanikiwa nini

Nafikiri hotuba ya mheshimiwa rais Samia Hassan imeelezea kwa kina matatizi ya suala la Mashariki ya Kongo kwa undani kabisa lakini je Jumuiya ya EAC imefanikiwa nini kimatendo na kiuhalisia ?

Katika mkutano niliuliza je EAC ipo kweli au Jumuiya hii ni kiini macho tu. Yuko wapi Felix Tshisekedi kama kweli Congo ni mwanachama wa EAC


Tshisekedi alliamua kuondoka EAC na kwenda SADC, nasi jumuiya ya EAC tukabakia tunakodoa macho na kuachia kila nchi kuchukua mwelekeo wake kiinchi na siyo kama Jumuiya.

Unaweza kujiuliza katika mazingira hayo ya kila nchi kujifanyia mambo kivyake nje ya EAC, na kutamani mambo ya Mashariki ya Kongo kutengemaa .....
 
Ungeku ni mgogoro wa ndani mazungumzo yangeleta suluhu, lkn kwa picha tu inaonekana hao M23 wapo hapo kwa external influence and support.

Hivyo ili watulie nilazime matakwa ya External influence and support yafikiwe.

So hapo watazichapa mpaka upande mmoja ukimbie
 
Kagame ameidharauje Tz
Hujui Rais Tanzania ni sehemu ya SADC? Hujui juzi tu baada ya Mkutano wa Nishati, Rais Samia aliitisha kikao cha SADC?

Kwa kifupi Kagame ameshafikia hatua ya juu kabisa ya kiburi na kuwadharau Viongozi wenzake wote kwa maana saivi anajua hakuna wa kumfanya chochote kuhusu Congo!
 
S
SADC sio Tanzania, na jeshi la Tanzania haliwezi beba majukumu ya SADC
 

View: https://x.com/bbcswahili/status/1884822951591063997?t=0XSHxBMLf-e6Goc6tNyQ1g&s=19
 
Una uhakika wa 100% kuwa ndani ya JWTZ hakuna Tutsi Spies? GENTAMYCINE nilipokuwa nikiwaonya Kutwa hapa JamiiForums kuwa Systems za nchini za Mombo na Mkunda kwa awamu ya Nne ziliharibiwa na kujazwa Wapumbavu, Wahuni na Walarushwa ambao hawakuwa na Uwezo wa Kiutendaji wa kuwa huko mkawa mnanidharau, kunishambulia na kunitukana.

Na nilisema kuwa Rwanda ya Kagame imepewa Kiburi kwa Udhaifu mkubwa wa Idara zenu hadi Kagame akawa anajua kila Kitu na kwamba kwa sasa anaweza hata kuichukua Dodoma au kuleta matatizo makubwa nchini bado Wapumbavu maeneo mbalimbali hawakunielewa ila nina uhakika sasa taratibu watanielewa na mnanielewa.

Na bado.....!!!!!!!
 
Hawawezi kukosekana Kwa sababu Tanzania ni kokolo
 
Wako wengi Sana
Ila hapo nyuma 2015 ilifanyika juhudi kuwapunguza ila Kwa sasa wameongezeka sababu ya uzembe
Hakuna Cha kuwapunguza ,Mtizamo wa Tanzania kwenye masuala ya Uraia ni kwamba hii ni Nchi ya Wahamiaji so inazoa chochote kama kokolo maana hatuna utambulosho wa Mtanzania ni nani.

Hadi Serikalini wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…