Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
-
- #81
Ushasema miaka ya nyuma mtume tena mwakiborwa aende Rwanda mkuuSiyo mbabe wana nchi nyingine hazimuogopi. Ni kwamba yeye siyo mtu mstaarabu wakati wenzie ni wastaarabu. Miaka ya nyumba wakati Kikwete akiwa Rais alimshauri kuwa afanaye mazungumzo na waasi ili wamalize mgogor kwa njia za amanai, yeye akamjibu kwa dharau kuwa hawezi kuongea na watu wa genocide. Kikwete alinyamza ila akamtuma General Mwakiborwa kwenda kuwafumua vibaraka wake M23 mpaka akashika adabu.
Angalia Kikwete na Zuma wakicheza mziki baada ya kufurumisha M23 wa Kagame
View attachment 3219079
Endelea kulalaHapana sio kweli.
Kagame anatamba zaidi eneo la maziwa makuu hasa Drc
Hili lilifanikiwa baada ya Obama na nchi za magharibi kuishinikiza Rwanda ikiwemo kuzuia misaada Ili iache kusaidia waasi wa M23.Siyo mbabe wana nchi nyingine hazimuogopi. Ni kwamba yeye siyo mtu mstaarabu wakati wenzie ni wastaarabu. Miaka ya nyumba wakati Kikwete akiwa Rais alimshauri kuwa afanaye mazungumzo na waasi ili wamalize mgogor kwa njia za amanai, yeye akamjibu kwa dharau kuwa hawezi kuongea na watu wa genocide. Kikwete alinyamza ila akamtuma General Mwakiborwa kwenda kuwafumua vibaraka wake M23 mpaka akashika adabu.
Angalia Kikwete na Zuma wakicheza mziki baada ya kufurumisha M23 wa Kagame
View attachment 3219079
Warundi ndo wenye maisha magum sio rwandaHao warundi bhana usilazimishe mambo
Warundi ndio choka mbayaWarundi ndo wenye maisha magum sio rwanda
They are all tyrantsK
Kwanini unamuweka Gaddafi kwenye kundi la akina Iddi Amini na Mobuttu??
K
Kwanini unamuweka Gaddafi kwenye kundi la akina Iddi Amini na Mobuttu??
anamshinda nini captain Ibrahim Traore wa Burkina Faso?Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Acha Uongo Rwanda kuna maisha Magumu sana kwa East Afrika Tanzania maisha rahisi sana ndo maana unaona Wanyarwanda wamejazana mwanza wanaenjoy maishaSio kweli Tanzania wananchi Wanamaisha magumu kuliko Rwanda
Kawadanganye wajinga wenzioKashachukua goma sasahivi yeye ni tajiri kuzidi tanzania na nchi nyingine za Africa maana Mali iliyopo goma tanzania hata nusu haifikii
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Kwa jinsi walivyo wazoefu kwenye vita Kwa kuitumia DR Congo na ujanja wao wa kujipendekeza Kwa wababe wa Dunia ni most likely wakawa wapiganaji hodari.Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe haupo sawa kiakili MkuuHivi waafrika nani ametuloga?
Mnataka wampige Kagame kwa faida ya mabeberu au ?
Nchi za Afrika kuna Marais watatu tuu.
Traoule
Kagame na
Museveni
Wengine wote ni vibaraka wa wazungu kulinda ufisadi wao.
Tuna mfano hapa Tanzania .
Kama sio Tundu Lisu na Askofu Mwamakula na Kanisa Katoliki Tanzania tunaingia kwenye mauaji ya halaiki kwa Sababu Serikali ya CCM na amiri Jeshi mkuu walishaanza kutoa matamko kuwa Wamasai wa Ngorongoro sio watanzania bali ni Wakenya.
Walijitokeza wazi wazi Makada wa CCM na serikali yake na kusema kuwa Wamasai Wanaoanda maana ni wavamizi kutoka Kenya hivyo jeshi la polisi na Jeshi kuu wawashughulikie. Polisi wakatuma vikosi hatari vya ffu na kofia nyekundu tayari kwenda kuwaua wavamizi toka Kenya.Jeshi likawa tayari .
Tundu Lisu Mpenda amani na Haki akapinga kwa nguvu zote kutumia risasi kuwaua Wamasai .Kanisa Katoliki linapinga kwa nguvu zote .Askofu Mwamakula akaisihi seri
Subscribed forums
kali isiwafukuze Wamasai kwani italeta uvunjifu wa amani. Watanzania wengi zaidi ya mil 40 isipokua CCM wasiozidi mil.5 wanachochea Wamasai wafukuzwe kwa kutumia nguvu za jeshi . Hofu ikatanda kwa Kabila la Wamasai . Wazee wachache sana ndani ya CCM wenye busara wakaishauri serikali isitumie nguvu za kijeshi kuwafukuza Wamasai eti ni Wakenya . Mpaka leo wale wana CCM waliowabagua Wamasai hatukusikia wakionywa na mwenyekiti wao kuwa ule ulikua ni uchochezi na ubaguzi mbaya sana.
Bunge lote la CCM liligeuka na kuunga mkono isipokua Ole Sendeka kidogo alijaribu kuonyesha wasiwasi japo asali za Mabeberu wa kiarabu kule Loliondo ni tamu sana .
Hali hii ni mfano wa hivi karibuni unaofanana sana kwa nchi za Afrika ikiwemo Kongo .Hawa watawala wa Afrika wanachoangalia ni maslahi ya mabeberu . Mfano Wamasai wangeanza kupigwa risasi ili warudi huko wanakoambiwa warudi Kenya .Je,Kenya isingewasaidia ili kuepuka mzigo wa kupokea wetu zaidi ya laki tano kwenye nchi yao isiyo na ardhi ya kutosha . Hapo mbaya angekua ni Kenya au ni Tanzania iliyotoa uamuzi wa hovyo kutokana na Rushwa ya Mwarabu mwekezaji anayeiba wanyama hai?
Na ili kupata uungwaji mkono Tanzania ingeomba UN iwasaidie kulinda maslahi ya mwekezaji kwa kisingizio cha kudhibiti waasi . Lakini kiuhalisia anayelindwa na Mwizi na anayeshughulikiwa ni mwenye mali.
Kongo kosa kubwa ni kuwabagua Wenzao wenye asili ya kitusi na kutumia nguvu ili kuwarudisha .
Wapumbavu na wajinga na malofa wanadanganywa eti Kagame anachimba madini . Upuuzi mtupu . Hivi kuna mtu anaweza kuchimba madini katikati ya mabomu na risasi .
Yaani mtu aingie kwenye shimo wkati mandege ya Kongo na UN yanadondosha mabomubb
Wewe haupo sawa kiakili Mkuu
Tafta uji unywe.
Siyo kweli mkuuSio kweli Tanzania wananchi Wanamaisha magumu kuliko Rwanda