Hivi waafrika nani ametuloga?
Mnataka wampige Kagame kwa faida ya mabeberu au ?
Nchi za Afrika kuna Marais watatu tuu.
Traoule
Kagame na
Museveni
Wengine wote ni vibaraka wa wazungu kulinda ufisadi wao.
Tuna mfano hapa Tanzania .
Kama sio Tundu Lisu na Askofu Mwamakula na Kanisa Katoliki Tanzania tunaingia kwenye mauaji ya halaiki kwa Sababu Serikali ya CCM na amiri Jeshi mkuu walishaanza kutoa matamko kuwa Wamasai wa Ngorongoro sio watanzania bali ni Wakenya.
Walijitokeza wazi wazi Makada wa CCM na serikali yake na kusema kuwa Wamasai Wanaoanda maana ni wavamizi kutoka Kenya hivyo jeshi la polisi na Jeshi kuu wawashughulikie. Polisi wakatuma vikosi hatari vya ffu na kofia nyekundu tayari kwenda kuwaua wavamizi toka Kenya.Jeshi likawa tayari .
Tundu Lisu Mpenda amani na Haki akapinga kwa nguvu zote kutumia risasi kuwaua Wamasai .Kanisa Katoliki linapinga kwa nguvu zote .Askofu Mwamakula akaisihi seri
Subscribed forums
kali isiwafukuze Wamasai kwani italeta uvunjifu wa amani. Watanzania wengi zaidi ya mil 40 isipokua CCM wasiozidi mil.5 wanachochea Wamasai wafukuzwe kwa kutumia nguvu za jeshi . Hofu ikatanda kwa Kabila la Wamasai . Wazee wachache sana ndani ya CCM wenye busara wakaishauri serikali isitumie nguvu za kijeshi kuwafukuza Wamasai eti ni Wakenya . Mpaka leo wale wana CCM waliowabagua Wamasai hatukusikia wakionywa na mwenyekiti wao kuwa ule ulikua ni uchochezi na ubaguzi mbaya sana.
Bunge lote la CCM liligeuka na kuunga mkono isipokua Ole Sendeka kidogo alijaribu kuonyesha wasiwasi japo asali za Mabeberu wa kiarabu kule Loliondo ni tamu sana .
Hali hii ni mfano wa hivi karibuni unaofanana sana kwa nchi za Afrika ikiwemo Kongo .Hawa watawala wa Afrika wanachoangalia ni maslahi ya mabeberu . Mfano Wamasai wangeanza kupigwa risasi ili warudi huko wanakoambiwa warudi Kenya .Je,Kenya isingewasaidia ili kuepuka mzigo wa kupokea wetu zaidi ya laki tano kwenye nchi yao isiyo na ardhi ya kutosha . Hapo mbaya angekua ni Kenya au ni Tanzania iliyotoa uamuzi wa hovyo kutokana na Rushwa ya Mwarabu mwekezaji anayeiba wanyama hai?
Na ili kupata uungwaji mkono Tanzania ingeomba UN iwasaidie kulinda maslahi ya mwekezaji kwa kisingizio cha kudhibiti waasi . Lakini kiuhalisia anayelindwa na Mwizi na anayeshughulikiwa ni mwenye mali.
Kongo kosa kubwa ni kuwabagua Wenzao wenye asili ya kitusi na kutumia nguvu ili kuwarudisha .
Wapumbavu na wajinga na malofa wanadanganywa eti Kagame anachimba madini . Upuuzi mtupu . Hivi kuna mtu anaweza kuchimba madini katikati ya mabomu na risasi .
Yaani mtu aingie kwenye shimo wkati mandege ya Kongo na UN yanadondosha mabomubb