Kagame ndio rais mbabe Afrika?

Kagame ndio rais mbabe Afrika?

Siyo mbabe wana nchi nyingine hazimuogopi. Ni kwamba yeye siyo mtu mstaarabu wakati wenzie ni wastaarabu. Miaka ya nyumba wakati Kikwete akiwa Rais alimshauri kuwa afanaye mazungumzo na waasi ili wamalize mgogor kwa njia za amanai, yeye akamjibu kwa dharau kuwa hawezi kuongea na watu wa genocide. Kikwete alinyamza ila akamtuma General Mwakiborwa kwenda kuwafumua vibaraka wake M23 mpaka akashika adabu.

Angalia Kikwete na Zuma wakicheza mziki baada ya kufurumisha M23 wa Kagame

View attachment 3219079
Ushasema miaka ya nyuma mtume tena mwakiborwa aende Rwanda mkuu
 
Siyo mbabe wana nchi nyingine hazimuogopi. Ni kwamba yeye siyo mtu mstaarabu wakati wenzie ni wastaarabu. Miaka ya nyumba wakati Kikwete akiwa Rais alimshauri kuwa afanaye mazungumzo na waasi ili wamalize mgogor kwa njia za amanai, yeye akamjibu kwa dharau kuwa hawezi kuongea na watu wa genocide. Kikwete alinyamza ila akamtuma General Mwakiborwa kwenda kuwafumua vibaraka wake M23 mpaka akashika adabu.

Angalia Kikwete na Zuma wakicheza mziki baada ya kufurumisha M23 wa Kagame

View attachment 3219079
Hili lilifanikiwa baada ya Obama na nchi za magharibi kuishinikiza Rwanda ikiwemo kuzuia misaada Ili iache kusaidia waasi wa M23.

Hata Sasa ni shinikizo la mabeberu tu kwa Kagame litamfanya aondoe askari wake huko Drc.
 
Atujaribu tuone nani mbabe. Tutamchakaza kama Iddi Amin Dada.
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
anamshinda nini captain Ibrahim Traore wa Burkina Faso?
 
Kwa umri wangu na elimu yangu ndogo ya kijeshi, nimejifunza kuwa viongozi ambao huwa wanadhani wana jeshi lenye nguvu sana hawataki kusikiliza ushahri wa kidpolomasia, ndio ambao majeshi yao huwa dhaifu sana japokuwa wanaweza kuwa na silaha nyingi. Marekani na ubabe wake huwa hawaishambulii nchi yoyote kabla ya kupeleka mashtaka yake umoja wa mataifa na kujadiliwa huku ikitaka umoja wa wamataifa uingilie kati mgogoro huo. Umoja wa mataifa ukiwa indecisive, bado watapeleka mgogor huo NATO kabla hawajepeleka jeshi lao kupigana.

Ni tofauti kwa nachi zisizokuwa na majeshi mazuri akama Urusi ambapo Putin alijiamulia kuishambulia Ukraine kwa kutegemea ni special military operation ya wiki moja tu, alipokuwa akitembelewa na wanadiplomasia kumwomba asifanye uvamizi alikuwa anawaonyesha majigambo sana kuwa ana jeshi kubwa lakini sasa hivi miaka mitatu baadaye anatokwa na udende akikimbila India, Korea, Somalia na Cuba kutafuta askari wa kusaidia kwani jeshi lake halina ubavu.

Ilitokea hivyo kwa Urusi kuivamia Iran mwaka 1979, askari wake 10,000 wakauwawa hovyo hadi akaamua kutimuka.
Ilitokea hivyo Kwa Saddam alipoivamia Irani na baadaye Kuwait, Ilitokea hivyo tena wakati Argentia walipoivamia Falklands, Imetokea juzi juzi tena Irani ilipopanga kuivamia Israel kwa kutumia Hezbollara na Hamas, Ilitoka zamani sana Wakati Nasser wa Misri alipoivamia Israel, ikajirudia tena kwenye vita ya Yon Kippur wakati Assad na walipimvaia Israel kwa mara nyingine,
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu
Kwa jinsi walivyo wazoefu kwenye vita Kwa kuitumia DR Congo na ujanja wao wa kujipendekeza Kwa wababe wa Dunia ni most likely wakawa wapiganaji hodari.

WanyaRwanda wanadai wao ni Taifa dogo ila sio watu wadogo Wana morali na determination kubwa kwenye kulinda maslahi Yao.
 
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka kuwa Benjamin Netanyahu

Hivi waafrika nani ametuloga?

Mnataka wampige Kagame kwa faida ya mabeberu au ?

Nchi za Afrika kuna Marais watatu tuu.
Traoule
Kagame na
Museveni
Wengine wote ni vibaraka wa wazungu kulinda ufisadi wao.

Tuna mfano hapa Tanzania .

Kama sio Tundu Lisu na Askofu Mwamakula na Kanisa Katoliki Tanzania tunaingia kwenye mauaji ya halaiki kwa Sababu Serikali ya CCM na amiri Jeshi mkuu walishaanza kutoa matamko kuwa Wamasai wa Ngorongoro sio watanzania bali ni Wakenya.
Walijitokeza wazi wazi Makada wa CCM na serikali yake na kusema kuwa Wamasai Wanaoanda maana ni wavamizi kutoka Kenya hivyo jeshi la polisi na Jeshi kuu wawashughulikie. Polisi wakatuma vikosi hatari vya ffu na kofia nyekundu tayari kwenda kuwaua wavamizi toka Kenya.Jeshi likawa tayari .
Tundu Lisu Mpenda amani na Haki akapinga kwa nguvu zote kutumia risasi kuwaua Wamasai .Kanisa Katoliki linapinga kwa nguvu zote .Askofu Mwamakula akaisihi seri
Subscribed forums
kali isiwafukuze Wamasai kwani italeta uvunjifu wa amani. Watanzania wengi zaidi ya mil 40 isipokua CCM wasiozidi mil.5 wanachochea Wamasai wafukuzwe kwa kutumia nguvu za jeshi . Hofu ikatanda kwa Kabila la Wamasai . Wazee wachache sana ndani ya CCM wenye busara wakaishauri serikali isitumie nguvu za kijeshi kuwafukuza Wamasai eti ni Wakenya . Mpaka leo wale wana CCM waliowabagua Wamasai hatukusikia wakionywa na mwenyekiti wao kuwa ule ulikua ni uchochezi na ubaguzi mbaya sana.

Bunge lote la CCM liligeuka na kuunga mkono isipokua Ole Sendeka kidogo alijaribu kuonyesha wasiwasi japo asali za Mabeberu wa kiarabu kule Loliondo ni tamu sana .

Hali hii ni mfano wa hivi karibuni unaofanana sana kwa nchi za Afrika ikiwemo Kongo .Hawa watawala wa Afrika wanachoangalia ni maslahi ya mabeberu . Mfano Wamasai wangeanza kupigwa risasi ili warudi huko wanakoambiwa warudi Kenya .Je,Kenya isingewasaidia ili kuepuka mzigo wa kupokea wetu zaidi ya laki tano kwenye nchi yao isiyo na ardhi ya kutosha . Hapo mbaya angekua ni Kenya au ni Tanzania iliyotoa uamuzi wa hovyo kutokana na Rushwa ya Mwarabu mwekezaji anayeiba wanyama hai?

Na ili kupata uungwaji mkono Tanzania ingeomba UN iwasaidie kulinda maslahi ya mwekezaji kwa kisingizio cha kudhibiti waasi . Lakini kiuhalisia anayelindwa na Mwizi na anayeshughulikiwa ni mwenye mali.

Kongo kosa kubwa ni kuwabagua Wenzao wenye asili ya kitusi na kutumia nguvu ili kuwarudisha .

Wapumbavu na wajinga na malofa wanadanganywa eti Kagame anachimba madini . Upuuzi mtupu . Hivi kuna mtu anaweza kuchimba madini katikati ya mabomu na risasi .
Yaani mtu aingie kwenye shimo wkati mandege ya Kongo na UN yanadondosha mabomubb
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi Kamanda Mulilolilolo ni Muha wa Kigoma au Igoma au Muha wa Mulenge au Rulenge🤣🤣🤣🤣🤣

Waafrika na watanzania tumuunge mkono Kagame huyu ni mzalendo halisi wa Afrika . Afrika ni moja . Wazungu wanatumia watawala wahuni kutugawa ili tuuane wao wabebe wanyama na madini .
Watawala wanatumia fedha nyingi sana kujinufaisha na familia zao huku wakivisahau kabisa vyombo vya dola juu ya maslahi yao .

Kongo ni nchi yenye utajiri mkubwa lakini wanashindwa kuajiri wanajeshi na polisi na kuwapa mafunzo bora ya utii kwa serikali na wananchi badala yake watawala wanaficha pesa ulaya kwa kushirikina na wezi wa madini toka ulaya . Hali hii inasababisha majeshi mengi ya nchi za kiafrika kuishi kwa kutegemea kazi za kwenda kupigania maslahi ya mabeberu chini ya UN ili wajikimu na kuboresha maisha yao . Ili nchi za Afrika ziwe na majeshi bora ni lazima wanasiasa waambiwe ukweli kuwa wenye jukumu la kulinda nchi ni wananchi ambao wanajitolea kizalendo kuingia kwenye majeshi na sio wanasiasa wa anaotafuta madaraka na kutumia majeshi kubaki madarakani hata kama wanafanya ufisadi .

Hivi tu kwa mfano wanajeshi wa Kenya na hata Tanzania kama sio kwenda kuwa mamluki wa Mabeberu chini ya UN wangeishije maana mishahara yao ni midogo sana . Hata polisi wa Kenya na Tanzania pia kama sio rushwa na kwenda kutumiwa na Mabeberu kulinda wizi wao madini kule Darfur na Kongo maisha yao yangekua magumu sana maana serikali zao hazina uwezo wa kutumia madini yao kuwalipa vizuri badala yake inawakamua tena kwenye vikokotoo .

Hili ni janga kubwa sana kwa Afrika .Viongozi na serikali zao hawana uwezo wa kutunza na kulipa majeshi na polisi wao .

Ni sawa na mtu anayefuga mbwa koko anashindwa kumtunza matokeo yake anakwenda kula majalalani na kwenye nyumba za majirani .

Kagame ni Rais pekee anayewalipa vizuri polisi na wanajeshi wa nchi yake ndio maana wanauzalendo mkubwa sana . Wengine wana wawajali majenerali wa juu na mapolisi wa vyeo vya juu lakini wa chini ni wabangaizaji na uzalendo unafifia ndio maana wanajeshi na mapolisi wengine kule Kongo ni machawa wa wanasiasa .

Rejea kauli ," Haushindi huu uchaguzi ".
 
Hivi waafrika nani ametuloga?

Mnataka wampige Kagame kwa faida ya mabeberu au ?

Nchi za Afrika kuna Marais watatu tuu.
Traoule
Kagame na
Museveni
Wengine wote ni vibaraka wa wazungu kulinda ufisadi wao.

Tuna mfano hapa Tanzania .

Kama sio Tundu Lisu na Askofu Mwamakula na Kanisa Katoliki Tanzania tunaingia kwenye mauaji ya halaiki kwa Sababu Serikali ya CCM na amiri Jeshi mkuu walishaanza kutoa matamko kuwa Wamasai wa Ngorongoro sio watanzania bali ni Wakenya.
Walijitokeza wazi wazi Makada wa CCM na serikali yake na kusema kuwa Wamasai Wanaoanda maana ni wavamizi kutoka Kenya hivyo jeshi la polisi na Jeshi kuu wawashughulikie. Polisi wakatuma vikosi hatari vya ffu na kofia nyekundu tayari kwenda kuwaua wavamizi toka Kenya.Jeshi likawa tayari .
Tundu Lisu Mpenda amani na Haki akapinga kwa nguvu zote kutumia risasi kuwaua Wamasai .Kanisa Katoliki linapinga kwa nguvu zote .Askofu Mwamakula akaisihi seri
Subscribed forums
kali isiwafukuze Wamasai kwani italeta uvunjifu wa amani. Watanzania wengi zaidi ya mil 40 isipokua CCM wasiozidi mil.5 wanachochea Wamasai wafukuzwe kwa kutumia nguvu za jeshi . Hofu ikatanda kwa Kabila la Wamasai . Wazee wachache sana ndani ya CCM wenye busara wakaishauri serikali isitumie nguvu za kijeshi kuwafukuza Wamasai eti ni Wakenya . Mpaka leo wale wana CCM waliowabagua Wamasai hatukusikia wakionywa na mwenyekiti wao kuwa ule ulikua ni uchochezi na ubaguzi mbaya sana.

Bunge lote la CCM liligeuka na kuunga mkono isipokua Ole Sendeka kidogo alijaribu kuonyesha wasiwasi japo asali za Mabeberu wa kiarabu kule Loliondo ni tamu sana .

Hali hii ni mfano wa hivi karibuni unaofanana sana kwa nchi za Afrika ikiwemo Kongo .Hawa watawala wa Afrika wanachoangalia ni maslahi ya mabeberu . Mfano Wamasai wangeanza kupigwa risasi ili warudi huko wanakoambiwa warudi Kenya .Je,Kenya isingewasaidia ili kuepuka mzigo wa kupokea wetu zaidi ya laki tano kwenye nchi yao isiyo na ardhi ya kutosha . Hapo mbaya angekua ni Kenya au ni Tanzania iliyotoa uamuzi wa hovyo kutokana na Rushwa ya Mwarabu mwekezaji anayeiba wanyama hai?

Na ili kupata uungwaji mkono Tanzania ingeomba UN iwasaidie kulinda maslahi ya mwekezaji kwa kisingizio cha kudhibiti waasi . Lakini kiuhalisia anayelindwa na Mwizi na anayeshughulikiwa ni mwenye mali.

Kongo kosa kubwa ni kuwabagua Wenzao wenye asili ya kitusi na kutumia nguvu ili kuwarudisha .

Wapumbavu na wajinga na malofa wanadanganywa eti Kagame anachimba madini . Upuuzi mtupu . Hivi kuna mtu anaweza kuchimba madini katikati ya mabomu na risasi .
Yaani mtu aingie kwenye shimo wkati mandege ya Kongo na UN yanadondosha mabomubb
Wewe haupo sawa kiakili Mkuu
Tafta uji unywe.
 
Wewe haupo sawa kiakili Mkuu
Tafta uji unywe.

Wasio na akili na vichaa ,materkou,mekooondou ni nyie mliosema bungeni kuwa Wamasai wa Ngorongoro sio watanzania . Huku mkichochea kuwa nguvu itumike.Mumumuee.
 
Back
Top Bottom