Bravo; CCM ina wachache wenye akili; wengi ni waimba mapambio.....kusifu na kuabudu....so sad.Ni ujumbe unaoonekana wa kawaida kabisa kutoka kwa Dr Kagasheki. But timing yake inaufanya ujumbe huu ubebe uzito mkubwa sana.
Ni ujumbe kwa Watanzania kuwa tusiamini kila kitu kitokacho vinywani mwa wanasiasa.
"Tafakarini kwa makini Watanzania" that seems to be the bold message from this distinguished doplomat.
Of course, mtu anahukumiwa kwa 'record' yake; unataka ahukumiwe kwa kitu gani?Sasa mbona unafananisha vitu tofauti?
Hiyo molestation imeshafanyika, unataka kuifananisha na habari za 2025 ambazo hazijafanyika?
Swali langu ni dogo tu.
Inafaa kumhukumu mtu kwa makosa ambayo unafikiri atayafanya, lakini hajayafanya?
Hakuna 'wrogful accusations', wakati mtu anajulikana kwa matendo na tabia zake za miaka yote ya nyuma. In fact it is not even a 'wrongful accusation', it's an experience/record on which someone is running on that will determine how s/he is perceived and judged.Wrongful accusation ni kitu kibaya sana.
Pia na hiiiiAkitoka ccm anaingia ccm, 2x2 =4, pia 2+2=4
Unamhukumu mtu leo kwa kosa atakalolifanya mwaka 2025?Hakuna 'wrogful accusations', wakati mtu anajulikana kwa matendo na tabia zake za miaka yote ya nyuma. In fact it is not even a 'wrongful accusation', it's an experience/record on which someone is running on that will determine how s/he is perceived and judged.
Naona hapa hakuna jipya, ni kazi bure kurudiarudia yaleyale yaliyokwisha andikwa bila ya kutoa 'position' mpya.
When there is something new to discuss call me back.
Kagasheki zama zake zilishapita ajitulize. Kila mtu ana Bahati yake. Wahenga walishasema Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
Sisi watanzania tunampenda kwa wingi Mkubwa, na tunasema katiba sio Vitabu vitakatifu.
Kupitia wawakilishi wetu ambao ni wabunge na ndio wenye dhamana ya kurekebisha vifungu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo movement huwa hawaifanyi wao directly. Yaani anahitaji watu watatu tu kuimuvuzisha hii kitu na bahati mbaya sana wote hao kila anapoenda, na wao humfuata nyuma as if Mihimili na Vyombo vyao ni tawi la Gogoni
Duh..Mzee unaamini kweli Magufuli amechoka na hatamani kuwa Rais..? Eti 2020 angestaafu kama sio aibu?A person is considered innocent until proven guilty.
Magufuli hatavunja katiba ili kuendelea kuwa rais.
Si kwa sababu anaipenda sana katiba. La hasha.
Magufuli ameshajua kwamba urais hauwezi. Ndiyo maana haishi kusema amechoka, kazi hii hakuitaka, muombeeni etc.
Huyu mtu angekuwa na uwezo wa kuacha urais bila aibu 2020 angeacha awe rais mstaafu.
Ni mtu ambaye maji yamemzidi kina. Ndiyo maana kika sikua anabwatuka maneno ambayo hayana staha za kirais.
Sasa mtu huyo ambaye kashachoka ndiye wa kuogooa kwamba atazidisha muda wake wa urais?
Kasema hatavunja katiba katika hili.
Mnataka afanye nini zaidi mkubali?
Kwa nini mnamhukumu kwa makisa ambayo hajayafanya bado, wakati ana makosa kibao ambayo kashayafanya?
You are losing focus.
You are not dealing with the real, you are dealing with the hypothetical.
Wewe tukikuhukumu kwa makosa tunayosema utayafanya mwaka 2025 utaona sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unapenda kuendeleza mjadala huu.Unamhukumu mtu leo kwa kosa atakalolifanya mwaka 2025?
Mwaka 2020 kuna uchaguzi pia, mmeshakubali Magufuli kashinda uchaguzi huo?
Mkuu, ni kweli Magufuli kavunja katiba mara nyingi, lakini hili la kuongeza muda wa Urais zaidi ya 2025 lipo extreme kidogo, sio jepesi kama mengine aliyovunja, japo inawezekana, tumpe benefit of doubt.Kama wewe unajulikana ni jambazi sugu, na mitaani unajulikana pasi shaka hiyo ndio sifa yako inayokupambanua; tutajuaje kuwa kati ya leo hadi hiyo 2025 utabadilika?
Nitakuwa naiweka familia yangu hatarini nisipokutolea gobole nikikuona unazongea mlangoni pangu.
Yani hata kama nimekosea kuona Magufuli amechoka, tuseme nimekosea hilo.Duh..Mzee unaamini kweli Magufuli amechoka na hatamani kuwa Rais..? Eti 2020 angestaafu kama sio aibu?
Mwanzo niliona una hoja zenye mashiko kusema tusimhukumu kabla ya muda, ila hapa umekuwa naive sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi kutokuwa wa haki au huru Tanzania si kitu cha kuniambia wewe leo hii.Naona unapenda kuendeleza mjadala huu.
Kingekuwa kipimo kizuri sana na kilicho sahihi kwa jinsi anavyokubalika kwa wananchi, endapo uchaguzi huo ungefanyika kwa haki na uhuru kamili kwa wapiga kura kumchagua au kutomchagua.
Sasa hutaki hata hapa nigusie historia ya uchaguzi kutokuwa huru na wa haki kutokana na historia tuliyoishudia katika miaka hii mitano inayoelekea ukingoni.
Kutokana na historia hiyo, na uzoefu tuliopata hadi sasa, sijui ni kitu gani kitatuhakikishia kuwa uchaguzi 2020 utakuwa huru na wa haki!
Kwa hiyo atakaposhinda uchaguzi huo kwa njia alizozoea kuzitumia, bado utashangaa alivyoshinda?
Binafsi naamini asilimia 99, Jiwe atabaki zaidi ya mihula miwili. Naweza kuwa nakosea, lakini kauli zake na za wana CCM wengine inaonyesha kabisa kuna jambo kubwa linaendelea nyuma ya pazia
Keep your focus. Hapa tunamzungumzia mtu 'specific', halafu unatoka na hao wengin?Uchaguzi kutokuwa wa haki au huru Tanzania si kitu cha kuniambia wewe leo hii.
Mimi nakaa na wakuu wa usalama wa Tanzania wananieleza jinsi chaguzi zilivyopinduliwa tangu enzi ya chama kimoja, mfano Zanzibar uchaguzi wa Idris Abdul Wakil kuwa rais Zanzibar, Wakil hakupata kura za kutosha, ingawa uchaguzi ulikuwa wa "Ndiyo/ Hapana". Mtu kashindanishwa na kivuli, halafu akashindwa uchaguzi.
Tatizo unazungumzia mtu, mimi nazungumzia zaidi ya mtu.Keep your focus. Hapa tunamzungumzia mtu 'specific', halafu unatoka na hao wengin?
Si hata afadhali ya hao wengine hawakuwa 'blatant' na baadhi ya mambo kama alivyo huyu! Kuna cha kulinganisha hapo kweli?
You're being carried away! Focus on how you deal with an untrustworthy person; someone whose word is as good as trash.Uchaguzi wa 2020 mmejipanga vipi kumuondoa Magufuli?
Haswa! Hili ndilo linalohusika hapa. Unataka kuhamisha goli sasa.Tatizo unazungumzia mtu, mimi nazungumzia zaidi ya mtu