Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kwani Katiba inasemaje?hata mimi nina mashaka makubwa na kauli ya bwana mkubwa, sioni dalili. he is just fooling you
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Katiba inasemaje?hata mimi nina mashaka makubwa na kauli ya bwana mkubwa, sioni dalili. he is just fooling you
Sasa hao si ni madikteta? Huu Uzi unamzungumzia Rais J.P MagufuliMadikteta wote ninaowafahamu... Kwa kusoma au kwa kuwashuhudia moja kwa moja....
Mara zote hawakubali moja kwa moja kuwa watang'ang'ania madaraka...
Ila mienendo ya wapambe wao na maneno ya vinywa vyao ni ishara mojawapo kuwa nia yao ni thabiti...
Enyi ndugu wenye macho na akili...
Hamjashuhudia dalili zozote hadi sasa??
Ukiongelea uwezekano tu, unaweza kuongelea chochote.nadhani pia si sahihi kwako kutuhukumu/tuhumu - whatever - tunaosema ni naivety kuamini eti hatang'ang'ania madarakani kipindi chake kikiisha (be it 2020 or 2025).
hakuna anaye draw conclusion yoyote hapa but tunasema uwezekano huo upo hata kwa kuangalia tu behaviours za peers wake anao rub shoulders nao (remember birds of the same feathers.......?). this is where am coming from.
so, hatumhukumu but tuna kila sababu ya kuwa na mashaka kwa kuangalia circumstances.
Mtu akisema wapinzani wa Magufuli hawana hoja, wanalialia tu, mara nyingi anakuwa anasema hivyo kwa sababu za kisiasa, na kukosa msingi wa haki wa kusema hilo.nadhani pia si sahihi kwako kutuhukumu/tuhumu - whatever - tunaosema ni naivety kuamini eti hatang'ang'ania madarakani kipindi chake kikiisha (be it 2020 or 2025).
hakuna anaye draw conclusion yoyote hapa but tunasema uwezekano huo upo hata kwa kuangalia tu behaviours za peers wake anao rub shoulders nao (remember birds of the same feathers.......?). this is where am coming from.
so, hatumhukumu but tuna kila sababu ya kuwa na mashaka kwa kuangalia circumstances.
Sasa kumbe kuna makosa kashayafanya huko nyuma? Yanajulikana.Tuanze na hili kwanzaView attachment 1298200
Hapana.I hardly believe the entire posting is from you!
Mstari huo tu nilioweka hapo unaonyesha kwamba mwandishi mwenye jina lililowekwa hapo juu sio mhusika. Labda awe 'under duress'.
Wasiwasi wenu ni upi? Kati ya mambo ambayo huyu mzee hatofanya ni kuongeza muda wa kukaa madarakani. Tuzifufue hizi nyuzi 2025.
Rais wa Kizalendo wa Jamhuri ya Muungano wa Puetorica atapumzika 2025
Msuko suko wa ndani ya Chama cha PNP kutoka kwa Wazee wa Chama ni Mkubwa sana kiasi kwamba kutuliza hali ya hewa imebidi atolee ufafanuzi kutuliza hali
Raia wa Nchi hiyo wanapaswa kuamini asemacho Rais wao
Ni kitu kibaya sana kumhukumu mtu kabla hajatenda kosa.
Ni ujinga kumhukumu mtu mwenye makosa mengi, kwa kuacha makosa aliyoyatenda, na kutumia makosa mnayofikiri atayatenda.
Mimi si mtetezi wa Magufuli. La hasha. Nimemsema sana hapa.
Lakini, katika hili la term limits, amesema hatavunja katiba. Haikuwa lazima aseme hilo, lakini amesema.
Kumzonga kwa hilo, ni kukosa heshima, kukosa adabu, kukosa umakini na kukosa hoja.
Kwa sababu, kila siku Magufuli anafanya makosa. Kwa maneno na matendo.
Amefanya makosa makubwa mengi. Kuanzia kuapisha watu kuwa mawaziri kabla hawajaapishwa ubunge mpaka kukataza mikutano ya hadhara ya kisiasa inayoruhusiwa na katiba.
Kuanzia kusema atapiga mpaka shangazi za wapinzani mpaka kuingilia biashara ya korosho na kuangusha mapato ya bidhaa za kilimo kwa asilimia 55 ndani ya mwaka mmoja.
Sasa mtu ambaye akifungua mdomo tu inatoka harufu ya ujinga, kwa nini mnamhukumu kwa makosa ambayo atayafanya 2025, wakati kuna makosa mengi kafanya ndani ya miaka minne iliyopita?
Mnawapa msemo wanaosema wapinzani wa Magufuli wanapinga tu, bila hoja.
Ukizushiwa kwamba utaiba mwaka 2025 na kuhukumiwa kwa kosa hilo ambalo hujalifanya bado, utaona hilo ni sawa?
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Kingine, wapinzani wa Magufuli wanapoongelea kwamba atavunja katiba na kuendelea kuwa rais baada ya term limits kuisha, hilo lina maana kwamba 2020 wameshakubali Magufuli atashinda?
Kama hawamkubali Magufuli, kwa nini wasipige kampeni aondolewe 2020?
Ukilalamikia uchaguzi wa 2025 wakati wa 2020 hatujafanya, ni kama umekubali tayari Magufuli kashinda 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
it's very unfortunate unaonekana kutumia nguvu nyingi sana katika vitu vinavyohitaji simple mental application.Mtu akisema wapinzani wa Magufuli hawana hoja, wanalialia tu, mara nyingi anakuwa anasema hivyo kwa sababu za kisiasa, na kukosa msingi wa haki wa kusema hilo.
Lakini, akisema hivyo katika hili la term limits, anaweza kuwa na logic.
Kwa sababu, mnalialia kuhusu kosa ambalo halijafanyika na mnayemtuhumu amesema hatalifanya.
Hivi, mmekosa makosa ya Magufuli ambayo kashayafanya ya kumvalia njuga, mpaka muende kukopa makosa ambayo hayajafanyika bado?
aliendika habari hiyo analima miwa kagera muda huuTuanze na hili kwanzaView attachment 1298200
nimekujibu hapo juu tayari.Mtu akisema wapinzani wa Magufuli hawana hoja, wanalialia tu, mara nyingi anakuwa anasema hivyo kwa sababu za kisiasa, na kukosa msingi wa haki wa kusema hilo.
Lakini, akisema hivyo katika hili la term limits, anaweza kuwa na logic.
Kwa sababu, mnalialia kuhusu kosa ambalo halijafanyika na mnayemtuhumu amesema hatalifanya.
Hivi, mmekosa makosa ya Magufuli ambayo kashayafanya ya kumvalia njuga, mpaka muende kukopa makosa ambayo hayajafanyika bado?
Hongera kwake, miwa ni malighafi ya sukari, kule kuna Kagera Sugar anafaidika sana huko
Ndo maana unajiita binti kiziwi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyu jamaa hawezi achia madaraka haya majamaa ya ccm mazwazwa ikifika 2025 utaona yatatengeneza vikundi kutoka vijijini wenye kuimba aendelee wa kwanza yule aliye hamia chato sup iikaWasiwasi wenu ni upi? Kati ya mambo ambayo huyu mzee hatofanya ni kuongeza muda wa kukaa madarakani. Tuzifufue hizi nyuzi 2025.
Nashangaa sana watu wanashikia bango suala la 2025, wakati nchi ina uchaguzi 2020.Rais wa Kizalendo wa Jamhuri ya Muungano wa Puetorica atapumzika 2025
Msuko suko wa ndani ya Chama cha PNP kutoka kwa Wazee wa Chama ni Mkubwa sana kiasi kwamba kutuliza hali ya hewa imebidi atolee ufafanuzi kutuliza hali
Raia wa Nchi hiyo wanapaswa kuamini asemacho Rais wao
Kama si ubishi tuliouzoea kutoka huko hata katika mambo yaliyo wazi, inaelekea kwako neno "uzoefu" halina maana yoyote.Kumhukumu Magufuli kwa makosa ya kinadharia anayodaiwa kuwa atayafanya mwaka 2025 ni ujinga.
Hususan ikiwa Magufuli tayari ana makisa mengi sana ambayo kayafanya tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app