Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

Ameandika Khamis Kagasheki

"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”

“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Mkuu

Balozi Kagasheki angesubiri tupime siku 100 za Mh Paulo Makonda akiwa ofisini.

Haraka ya nini?
 
Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.

Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.

Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Huyu si ndiyo walikuwa wanarudisha maendeleo ya Bukoba nyuma kwa kufanya siasa za kishamba na Meya Anatory Amani,mpaka leo stendi ya Bukoba haijajengwa.Kwanza Mkoa wake ni masikini wa kutupwa alafu Makonda anadili na Mawaziri wazembe yeye anapinga!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kagasheki hana lolote ni mmojawapo wa Viongozi waliokuwa wabinafsi alichangia pakubwa kudumaza Bukoba wakati wa enzi yake yupo Waziri na Mbunge wa Bukoba Mjini hakuna lolote alilosaidia Mkoa wa Kagera atulie tu muda wake umepita amwache bwana mdogo Makonda apige kazi.
Ujinga mwingine bana!, Nyerere hakuwa Rais wa Tz umefika Butiama umeona alichofanya?.
 
Ameandika Khamis Kagasheki

"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”

“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Basiachadomo yanafurahia na kusahau Moto wa Mbowe vs Lisu 🤣🤣

Ni hivi Makonda ana kibali Cha Chama na Mwenyekiti na itakuwa hivyo.

Huo utaratibu anaoutaka yeye akaufanye huko anaoita Dunia nzima.So.long as huu utaratibu wa Makonda unaleta Tija Wacha uendelee.

Kagasheki ndio nani wa kumpangia Mwenyekiti? Kwanza aliwahi kuwa Waziri mzigo.Makonda kanyaga twende panga wameanza kutoka mashimoni.
 
Kazi ya mbunge sio kupeleka maendeleo, kazi yake nikusemea kero za wananchi wake... Serikali ndio inapeleka maendeleo kwa jamii yake. Ukute na wewe ni mhitimu wa degree kadhaa hujui hata majukum ya serikali na mbunge.
Huyu si ndiyo walikuwa wanarudisha maendeleo ya Bukoba nyuma kwa kufanya siasa za kishamba na Meya Anatory Amani,mpaka leo stendi ya Bukoba haijajengwa.Kwanza Mkoa wake ni masikini wa kutupwa alafu Makonda anadili na Mawaziri wazembe yeye anapinga!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ameandika Khamis Kagasheki

"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”

“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Sasa nimeamini wahaya hawana shukurani, hivi makonda kuuliza taa za uwanja wa bukoba zitawekwa lini nalo ni kosa? Kuuliza control tawa ya kuongozea ndege bukoba nayo ni kosa? Hivi kagasheki hajui precision air ilitumbukia ziwani kwa kukosa controo tawa rubani akawa anachungulia dirishani haoni mbele kisa ukungu, kwake kagasheki wale watu waliokufa ilikuwa kafara? Shenzi zake kabisa
 
Ameandika Khamis Kagasheki

"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”

“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Sasa mbona Makonda mwenyewe yupo si umwamvie ana kwa ana au mpigie simu? Sasa huku JF itakusaidia nini?
 
Yani huyu mama sijui ana mpango gani nahuyu msukuma mpaka kumteua!

Ni suala la muda tu
 
Kwani wewe ulitaka afanye kitu gani badala ya hiki anachofanya sasa?

Naona wengi wenu mmemezwa na chuki mliyonayo dhidi ya Makonda, mpaka mnashindwa kutenganisha utendaji wake wa sasa kulingana na nafasi aliyonayo, na yale aliyowahi kuyafanya siku za nyuma.

Tazameni jambo kwa wakati tuliopo kisha mlitolee hukumu kulingana na wakati tuliopo, msichanganye past za mtu mkazitumia kuhukumu present, hapo nyie ndio mnapotea.

Chuki. Umesema kweli.

Maoni mengi dhidi ya Makonda yanatokana na chuki zaidi, nimeona mpaka wakongwe humu wameshindwa kabisa kujizuia na kuonyesha udhaifu wao juu yake.

Blinded by hate. Mbaya sana maana matokeo yake ni kukwamishana kwa makusudi.

Uchawi sio tunguli tu, chuki ni uchawi pia na unaleta Kansa kwa mbebaji.
 
Unajaribu kutetea nn ww ?. Kwani ni nani asiye jua ukilitimba upigaji uliopo uko juu. Mzee ametangulia Ila ameacha mbegu. Mwache kijana afanye kazi
 
Ujinga mwingine bana!, Nyerere hakuwa Rais wa Tz umefika Butiama umeona alichofanya?.
Kwahiyo wewe unaona uwerevu ni kutokufanya maendeleo sehemu unayotoka ukiwa kiongozi?
Nyerere kwa kuidumaza Butiama na mkoa wa Mara kwa ujumla ndio ujanja kwako?
Nyie ndio unalima kwa jirani lakini kwako unafuga poli.
 
Mama atakwambia hapendezwi lakini inasaidia...kama hutaki Makonda akuropokee fanya kazi yako kwa wakati sahihi
Hapo sawa, mropokaji anafaa ukiona kero kuropokewa timiza wajibu wako kwà wakati.
 
“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
1700121000293.png

Presha inapanda presha inashuka
 
Ameandika Khamis Kagasheki

"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”

“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Ukiwa na wazee wa aina ya Kagasheki ndio washauri wako hutoboi. Amesahau alichokifanya maliasili enzi zake. Anataka uongozi wa aina Ile wa kuonga ma v8
 
Attachments

  • VID-20231116-WA0121.mp4
    25.2 MB
Ameandika Khamis Kagasheki

"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”

“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Huyu mtoto ana matumizi mabaya mno ya fedha za UMMA NA CHAMA, muaangalieni mno, ana force taasisi na ofisi za UMMA kuingia matumizi yasiyopangwa na yasiyo na Tija kwenye shughuli zake za kujitungia tungia, misafara zaidi ya makamu wa rais, mpuuuzi mno, endeleeni kumchekea
 
Back
Top Bottom