Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
" amekuwa Waziri na Balozi"Balozi yupi ana impact kwa taifa hili
Kama hakuwa na impact chanya katika vyeo hivyo vyote akae kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
" amekuwa Waziri na Balozi"Balozi yupi ana impact kwa taifa hili
MkuuAmeandika Khamis Kagasheki
"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”
“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Huyu si ndiyo walikuwa wanarudisha maendeleo ya Bukoba nyuma kwa kufanya siasa za kishamba na Meya Anatory Amani,mpaka leo stendi ya Bukoba haijajengwa.Kwanza Mkoa wake ni masikini wa kutupwa alafu Makonda anadili na Mawaziri wazembe yeye anapinga!Utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi haujaandikwa kwenye kitabu, ambacho ulimwenguni kote tunatakiwa kujifunza huko.
Kero za wananchi zinasikilizwa kwa namna mbalimbali kulingana na jiografia ya eneo husika, na desturi ya watu wa sehemu hiyo.
Sio lazima kwetu Tanganyika tujifunze namna wamarekani na wafaransa wanavyosikiliza kero za wananchi wao, hjko kutakuwa sawa na utumwa wa kifikra kwetu.
Ujinga mwingine bana!, Nyerere hakuwa Rais wa Tz umefika Butiama umeona alichofanya?.Kagasheki hana lolote ni mmojawapo wa Viongozi waliokuwa wabinafsi alichangia pakubwa kudumaza Bukoba wakati wa enzi yake yupo Waziri na Mbunge wa Bukoba Mjini hakuna lolote alilosaidia Mkoa wa Kagera atulie tu muda wake umepita amwache bwana mdogo Makonda apige kazi.
Basiachadomo yanafurahia na kusahau Moto wa Mbowe vs Lisu 🤣🤣Ameandika Khamis Kagasheki
"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”
“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Huyu si ndiyo walikuwa wanarudisha maendeleo ya Bukoba nyuma kwa kufanya siasa za kishamba na Meya Anatory Amani,mpaka leo stendi ya Bukoba haijajengwa.Kwanza Mkoa wake ni masikini wa kutupwa alafu Makonda anadili na Mawaziri wazembe yeye anapinga!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Sasa nimeamini wahaya hawana shukurani, hivi makonda kuuliza taa za uwanja wa bukoba zitawekwa lini nalo ni kosa? Kuuliza control tawa ya kuongozea ndege bukoba nayo ni kosa? Hivi kagasheki hajui precision air ilitumbukia ziwani kwa kukosa controo tawa rubani akawa anachungulia dirishani haoni mbele kisa ukungu, kwake kagasheki wale watu waliokufa ilikuwa kafara? Shenzi zake kabisaAmeandika Khamis Kagasheki
"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”
“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Sasa mbona Makonda mwenyewe yupo si umwamvie ana kwa ana au mpigie simu? Sasa huku JF itakusaidia nini?Ameandika Khamis Kagasheki
"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”
“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Kwani wewe ulitaka afanye kitu gani badala ya hiki anachofanya sasa?
Naona wengi wenu mmemezwa na chuki mliyonayo dhidi ya Makonda, mpaka mnashindwa kutenganisha utendaji wake wa sasa kulingana na nafasi aliyonayo, na yale aliyowahi kuyafanya siku za nyuma.
Tazameni jambo kwa wakati tuliopo kisha mlitolee hukumu kulingana na wakati tuliopo, msichanganye past za mtu mkazitumia kuhukumu present, hapo nyie ndio mnapotea.
Kwahiyo wewe unaona uwerevu ni kutokufanya maendeleo sehemu unayotoka ukiwa kiongozi?Ujinga mwingine bana!, Nyerere hakuwa Rais wa Tz umefika Butiama umeona alichofanya?.
Hapo sawa, mropokaji anafaa ukiona kero kuropokewa timiza wajibu wako kwà wakati.Mama atakwambia hapendezwi lakini inasaidia...kama hutaki Makonda akuropokee fanya kazi yako kwa wakati sahihi
“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Kuwa mkweli, sasa hivi ni Waziri yupi unamwona ana impact kwa taifa" amekuwa Waziri na Balozi"
Kama hakuwa na impact chanya katika vyeo hivyo vyote akae kimya
Ulitaka awalimie kahawa wawe matajiri?Huyu kagasheki akae atulie alee wajukuu. Miaka yake yote aliyokaa serikalini hakuna alichofanya kaiacha bukoba masikini wa kutupwa
Ukiwa na wazee wa aina ya Kagasheki ndio washauri wako hutoboi. Amesahau alichokifanya maliasili enzi zake. Anataka uongozi wa aina Ile wa kuonga ma v8Ameandika Khamis Kagasheki
"Duniani kote, Serikali ni kioo cha nchi. Katika nchi za Kidemokrasia vyama vya siasa hutafuta Dola na kuunda Serikali ambayo huwajibika kwa chama kile. Lakini style ya kutia kitimoto Mawaziri na Waziri Mkuu na kuwapa ultimatum hadharani haijengi bali ina madhara.”
“Ninakiri ulazima wa viongozi kutoa ufafanuzi wa mambo na kujibu hoja za Wananchi kwani wao ndio Waajiri wa Viongozi. Zipo njia nyingi za kuhoji Viongozi na kupata ufafanuzi kutoka kwao bila kuwavunjia heshima. Katibu Mkuu wangu, Daniel Chongolo style hii ya sasa, sio."
Huyu mtoto ana matumizi mabaya mno ya fedha za UMMA NA CHAMA, muaangalieni mno, ana force taasisi na ofisi za UMMA kuingia matumizi yasiyopangwa na yasiyo na Tija kwenye shughuli zake za kujitungia tungia, misafara zaidi ya makamu wa rais, mpuuuzi mno, endeleeni kumchekeaAmeandika Khamis Kagasheki