Kagera 0-2 Simba | VPL | Kaitaba Stadium - April 21, 2021

Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Kaitaba

Simba wakianza kusukuma gozi la ng'ombe, huku Kagera Sugar wakifanya mabadiliko

Ametoka Abdallah Mfuko na ameingia Mwaterema.
 
Nilicheka sana inawezekana alikua haijui Yanga kabisa amekuja kuambiwa kua anaenda Yanga ameshafika pale Kidimbwi akawa hana namna .Ndo maana hana furaha
Hahahah hamieni huku, naona jana kocha flani kajimix mbele ya mic anaropoka Simba wakati yupo kwenye mahojiano na wana wa matopeni [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Kiboko yao ni simba, ingekua ni sisi tungekua tusha wakamulia limao machoni
Ah siku ile mlimfumania Al ahly kwa upuuzi wa mosimane....wee bingwa wa Afrika alafu unaenda kupaki basi?

Wanaume walikuwa wanigeria...gozi la ng'ombe liliwekwa chini kitu kikapigwa.
 
59' Mwaterema anaonyesha Kadi ya Njano baada ya kumfanyia madhambi Miquissone

Kagera Sugar 0-2 Simba SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…