Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Ahahahahahahaha Hawa watu aisee Wana sifa kama nn,Kuna mmoja Dodoma ni fundi nguo anajsifiq yeye Huwa anashonea nguo viongoz na wabunge ,kama ni mtu wa kawaida hawez Bei zake ,,na pili anasema Hana njaa ya ela .
Yuko sahihi hiyo ni kazi yake anayoipenda na ana haki ya kuibrand kwa namna anavyoona inafaa na anajua anachokifanya na ana akili kukushinda ndiyo maana alikwambia hana njaa kwa maana inaonekana ulitaka aache kazi yake awe chawa kama wewe hapo.
 
Aiseeh ulichoongea hapo ni 100% kweli tupu! Kuna ukabila na majungu kuliko mikoa ya tanzania yote huko.

Jamani wahaya wana majungu sijawahi ona! Dalala ni kilugha tuuuuuuuu..

Nimeishi huko toka mwaka 2015 - 2019 umeongea kweli tupu
 
Tutajie kwenu ili tukwambie usiyoyajua
 
Kuhusu elimu upo sahihu sana, wahaya wamebakiza tu wajigambo kichwani hamna kitu na kuhusu majungu wanaume wa kihaya wapi bize kupiga umbea kuwazidi hata wake zao
100% nimeishi kule! kule ni kuzuri kwenda kupumzika ule ukijani na kamvua mvua na Kula sato wa foil..ukimaliza likizo unasepa
 
Tutajie kwenu ili tukwambie usiyoyajua
Mkuu nimekaa na wahaya sijawahi ona kabila lenye Roho mbaya kama lile! Ila Dada zao tumewala kipindi hicho maana si wagumu maana kule uchumi ni mbovu pesa ni ngumu kule..sasa ukiwa mfanyakazi ndo uta enjoy sana.
 
Mhaya umenuna baada ya kuambiwa ukweli ...pole sana
 
Lipa madeni yako ili uache kuona watu wana roho mbaya.

Nilifikiri una hoja kumbe unaongelea ngono kilaza wewe na mawazo yako yamelala kwenye ngono na ujue ulikuwa unakula visusio walivyosusa wenzako na wewe unajiona umekula.
Twambie kwenu ni wapi ili tukuonesha namna dada zako tunavyowala huku wewe ukikaa kujinasibu kwamba una pesa.
 
Mhaya umenuna baada ya kuambiwa ukweli ...pole sana
Ukweli kwenye nini kiazi wewe na inaonekana IQ yako na mleta thread iko level moja yaani ipo zero kabisa na ndiyo maana ameandika na katikakatika karudi kujipinga mwenyewe kwenye replies zake
 
100% nimeishi kule! kule ni kuzuri kwenda kupumzika ule ukijani na kamvua mvua na Kula sato wa foil..ukimaliza likizo unasepa

Mkuu nimekaa na wahaya sijawahi ona kabila lenye Roho mbaya kama lile! Ila Dada zao tumewala kipindi hicho maana si wagumu maana kule uchumi ni mbovu pesa ni ngumu kule..sasa ukiwa mfanyakazi ndo uta enjoy sana
Ulivyo kiazi utavutiwaje na kwenda kupumzika kwa watu wenye roho mbaya kama wewe huna utindio wa ubongo?
 
Kilaza kama wewe ndiye anatumwa kuandika ujinga kama uliouandika
Oukkkkk..... Nilichokua nakitaka nimeikpata🤣🤣🤣🤣 hatimae umejipambanua mazima Kwa ujinga wako..... Na voice note zenu ninazo wapuuzi nyie mnadhani Kila anaeandika humu ni MUHAYA au katumwa na KUNDI Fulani la wanasiasa mnamdondoshea jumba bovu mbunge wenu kwamba ndo kaagiza BUKOBA ICHAFULIEWE 🤣🤣 HAMNA AKILI KABISAAA.... Yani niliposoma jibu lako la kwanza nilijua utajileta.

Baada ya andiko hili KUNDI lenu nasikia likachafuka mavoice note ya kihaya kibao mmewaingiza na wasio husika Kwa unafiki na CHUKI zenu za KISIASA..... Nikwambie tu baada ya kusikia mnayojadili ndo nkajua hakuna MUHAYA mwenye akili. Waliotangulia kuwatusi hawajakosea.

Pia soma
 
Unaona ulivyojinga na kiazi mbatata sasa kwahiyo mpaka hapo unafikiri kuna unachojua. Pole sana na nitakukanda mpaka ujue kwamba ukiandika ujinga utajua ujui na mpaka hapo umeendelea kudhihirisha ulivyo jinga na ndiyo maana nimekwambia wajinga kama wewe ndiyo wanatumwa maana IQ yako iko zero kabisa. Ukiona unahangaika kuwa na sijui voice notes za watu ujue ni udhihirisho tosha wa kutokuwa na akili kama wewe hapo. Wenye akili ndiyo watanielewa siyo wewe kiazi mbatata
 
Ukweli kwenye nini kiazi wewe na inaonekana IQ yako na mleta thread iko level moja yaani ipo zero kabisa na ndiyo maana ameandika na katikakatika karudi kujipinga mwenyewe kwenye replies zake
Povu lote la nini mjomba? Si urudi nyumbani urekebishe tabia mbovu za ndugu zako ...mkoa umedumaa hauna sababu ya watukama nyie msiotaka kuambiwa ukweli
 
Msivyo na akili nasikia aliyeandika andiko la club yenu pendwa kujengwa bila KUFUATA SHERIA mmemuhusisha na TANPOINT so mnataka mchaga aondoke hapo🙌🙌🙌
Lengo langu limetimia wapambanaji wanajua WAKIFIKA waanzie wapi kuishi na nyie bwana mengine haya ni by the way tu Mr. IQ merckme ila jifunze kuficha I'd Yako mana muandiko wako uko wazi sana Brother

Baada ya mwezi ntakuja na ya Geita KARIBU SANA
 
Povu lote la nini mjomba? Si urudi nyumbani urekebishe tabia mbovu za ndugu zako ...mkoa umedumaa hauna sababu ya watukama nyie msiotaka kuambiwa ukweli
Ukweli utawaambia nduguzo kwa maana hujawahi kuona hao mnaohangaika nao kila siku wanakuja kuwashobokea kama mnavyowashobokea na mkiona mmekwama mnakimbilia kuwasema wana tabia mbovu. Nyo...ko
 
Ukweli utawaambia nduguzo kwa maana hujawahi kuona hao mnaohangaika nao kila siku wanakuja kuwashobokea kama mnavyowashobokea na mkiona mmekwama mnakimbilia kuwasema wana tabia mbovu. Nyo...ko
Ukweli utakuweka huru
 
Siku zote mtu mfa maji haachi kutapatapa kama unavyotapata hapa kuhusisha biashara za watu wenye akili zao na ujinga wako na ndiyo maana ulikuja hapa juzi kuandika kwamba Rio De Janeiro imejengwa kwenye chanzo cha maji usivyo na akili wewe na wenzako mnafikiri pale ni chanzo cha maji na kwanini hakukuwahi kufungwa tangu kukiwa Sky Motel kilaza wewe. Kalale maana huna unachojua na ndiyo maana unahangaika eti nifiche I'd yangu wakati ushauvaa mkenge bila kujua iko hivyo purposely kwa ajili ya wajinga kama wewe
 
Hata id umeshindwa kutofautisha maskini. Ngoja nikupuuze tu Kila la kheri kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…