Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 308
- 654
Unaonekana kuwa na matatizo makubwa sana kuliko hao wahaya.Nlikuwa Nina miaka tisa nilipopelekwa Bukoba kutoka Dodoma, baada ya kufika nikapelekwa shule ya msingi Moja hivi, guys living in Bukoba ilipelekea nikawa traumatized. Watoto shule walikuwa wananisema kwamba Mimi najidai Kwa sababu najifanya najua kiswahili. Every kid at school alinichukia bila sababu. Kwenye Ile shule Mimi ndo nilikuwa nimetokea mikoa mingine wengine walikuwa wazawa wa pale. I was bullied, na hata nyumbani watoto walinimanipulate. Waliniambia ninaringa. Kuishi kule kulinirudisha nyuma kiakili.
Hadi Leo najaribu kuirudisha confidence yangu iliyopotea but kule Bukoba ni Kwa kishetani naweza kusema. Hata watu wa kule hawana akili kwanza.
Nina ndugu kule they sound stupid, ni ngumu kufanya nao kitu kikaenda vizuri.
Sitokaa niende Kwa namna yeyote Ile. Kule ni Kwa mashetani. Ni mashetani ndo yanaishi Bukoba. Wanajionaga wenyewe ndiyo watu alafu wengine siyo watu. Wako depressed and wako toxic. Si watu wa kukaa nao karibu kabisa.
Kamji kao kale hakaendelei , mipango miji wamelala Kwa kweli. Mji unarudi nyuma badala ya kusogea mbele. Wanaishi in 1980's. Wakati mikoa mingine ipo 2025. Hawanukii watu wa kule , wananukia nyanyachungu tu. They are the weirdest people I have ever seen. Hawana Nuru. Magufuli aliutelekeza ule mji.
Na kama kabila lako zima lipo hivi basi ni hatari sana, ni bora huko jehanamu kwa mashetani.