Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Da
Waweza kuwa sahihi lakini maana sahihi zaidi ya neno WALANGIRA ni watu wenye mali, hadhi, pesa au waheshimiwa
 
Hivi wahaya wa vijijini washaachaga kutandika nyasi chini kama floor kwenye nyumba zao za udongo? Nilionaga ilikuwa fashion miaka ya 2000
Hiyo ni sehemu ya utamaduni japo kwa sasa kutokana na mabadiliko/ maendeleo ya teknolojia imebaki sehemu chache hasa vijiji vya mbali sana, watu wengi kwa sasa wanaweka saluji na vigae kulingana na uchumi wa mtu mmoja mmoja
 
Mkuu muuzaji kushukuru mbona ipo karibu kila sehemu hata huko Dar na sidhani kama ina uhusiano wowote na mzunguko wa pesa.
 
Hatimae Wachaga wamepumzishwa, leo kombora zimeelekezwa Bukoba.
 
Kwa hiyo Nduli apewe maua yake, sio?
 
mara ya kwanza kufika BK pale town nilistaajabu sana hasa ukizingatia tambo zinazofanywa na wadau wa huko huku mijini. nakuta pale Town nyumba classic ni zile contemporary za 1950s za msajili wa majumba.๐Ÿ˜†
 
Hivi Kondoa ndio wanatoka warangi?
Nafikiri hata mzaliwa wa Bukoba ukimpeleka Kondoa sijui kama atarudi tena .
Nafikiri utofauti wa tamaduni unafanya watu wawacgukie wahaya lakini ni watu poa tu
 
1- Your trauma was triggered, kwa kuishi Bukoba ama kuwaona baadhi ya โ€œstep nduguโ€ zako.

2- Ulisema shule nzima. Rejea statement yako ya kwanza.

3- Mikoa mingi ya Tanzania hata mpaka sasa Bado wanafuata maji yao kwenye vyanzo halisi vya maji Kama mtoni, ziwani, mabwawa, lamboni etc.
Watu kutokua happy na wewe haina maana hawakupendi, stop taking things personal.

4- Sawa ila sentensi zako zinaongea mengi zaidi.

5- Hawa Step relatives ndio wakoje?
Adaptation of any behavior & routines roughly takes 7 to 21 days. Proven fact.
Yapo mengi umetoka nayo huko, read yourself carefully.

6- Tayari ni ndugu, wa mbali au karibu ni perception tu. Umeenda na miaka 9 umeishi nao mpaka class 7. It was a journey.

7- How evil labda tuanzie hapo? Maana isije kuwa watoto wenzio kukucheka kiswahili chako and maybe rangi yako (umesema ni mrangi) and you took it way personal?!

8- No humble person I know can dare call another human โ€œShetani, Mashetaniโ€.

9- Okay, lakini itโ€™s a place that gave You your childhood foundation. Utarudi tu for closure or more.

10- Sio kweli kwamba Bukoba ya 1980โ€™s ndio ya leo 20โ€™s! Uwongo.

11- Huwezi kufananisha ratiba ya kuoga ya mtu anaeishi Dar kwenye joto la hali ya juu na mtu anaeishi Bukoba kwenye baridi kali na mvua za mara kwa Mara. Pili upatikanaji wa maji kwa matumizi hayo ni ngumu tofauti na wewe uliepo Dar all you do is open a Tap!

12- Every creature is a stranger to another strange creature, wala sio ajabu. Familiarity never rains, only fogs.
Kwahiyo Kama sio Muhaya sina haki ya kuchangia na kutoa maoni yangu?

13- Kwanini hapaendelei kwa kasi inayotakiwa sawa na mikoa mingine tumeona humu michango ya members wengine, Siasa chafu, Majungu na Fitna za kishenzi ndio sababu.
 
Waitu milembe, ogumile? Ha ha hiyo naijua sana, ukishapewa hiyo kitu huchomoi unakuwa ka zezeta hivi au mme bwege, mke anakutawala atakavyo
naguma๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

kyoma ujue mimi ni mkurya, nimeenda BK kusoma A level tu ila ilibidi nijipe mda wa kujifunza kihaya kwa sababu lugha kuu ni kihaya

na sikuona shida kwa sababu ukienda kwetu Musoma utakuta nako kuna shida ya lugha pia..

Niliondoka BK nikaacha binti mmoja ananililia...

sitamsahau ANISIA wangu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Very touching story mtani, ndo maisha yalivyo, harakati na changamoto kama hizo ni sehemu yake.Bila shaka ulisoma Kahororo au Ihungo, ndo shule zilizokuwa na wakurya wengi enzi hizo
 
Ungeweka hata picha za mji huo, tuone uhalisia wake ... mimi nilisoma huko miaka ya nyuma sana... Kwa jinsi walivyokuwa sidhani kama wamebadilika sana na hii inafanya mtua aamini huu utafiti wako ni hali halisi kwa sasa...

Sijui maeneo kama Buyekela, Kashai, Mugeza au Hamugembe yanafananaje kwa sasa .. Picha ingesaidia sana
 
Wahaya wamefanikiwa uwekezaji kwenye shule binafsi tu na hao walioanzisha wakiondoka huenda pasieleweke.Ukabila na majivuno ni balaa baadhi yao,wahaya hawana haya kujisifu wakati hawana lolote,mimi nilipoenda vijiji nilishangaa vijiji vingi havina barabara za kupita na magari,unaweza kwenda kwa boda imbali wa km 18.Mtu akiambiwa aache njia ya gari analeta ubishi anapanda migomba hadi barabarani.Elimu duni na umaskini ni mkubwa sana.Nilinunua eneo wakajua mimi ni wa kuja wakasema nirudishiwe hela kwa mikwara,kumbe walishakunywa rubisi na kufanyia harusi cha kurudisha hawana.Pale ndio niliamini afadhali mchaga na mnyakyusa ni wanyenyekevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ