1. Hamna kitu kilichoniletea trauma other than Bukoba itself. My momma told me when I was a little kid, aliniambia I am smart, beautiful, intelligent etc. nilikuwa najiamini , nilikuwa happy Mda wote sababu nlikuwa nothing is wrong with me but people made me feel vibaya.
2. Sijasema kwamba shule nzima ilinichukia , ila darasani kilikuwa na kakikundi ambako kalikuwa na authority nadhani kwako walikuwa matajiri, hapo ndiyo walionipa shida , nilikuwa Nina marafiki zangu of course tuliokuwa mabesti kabisa.
3. Mazingira ya kule yalikuwa magumu kwangu, maji mnafata mtoni huko mbali, but also kutokuwa na watu ambao wako happy for you it's really bad Kwa kweli. Hawakuniabuse physically waliishia kwenye maneno tu.
4. Mimi ni Mimi kwakweli, sijaadapt kuishi maisha kama Yao, Hadi naondoka pale nilipomaliza grade seven kwakweli sijawa kama wao.
5. Kuhusu undugu wale siyo my close relatives, ni step relatives I can say.
6. Wale ni ndugu zangu wa mbali wao ni wahaya Mimi ni mrangi.
7. Wala siwapaki matope , I am not making this up, they were evil to me either Kwa kujua ama Kwa kutokujua.
8. I am not toxic at all, I am way too much humble.
9. Kuhusu Mimi sitakuja kupeleka wanangu Bukoba, and I don't advise anybody to send your beloved ones Bkb.
11. Nimetaja 1980's Kwa sababu, ukienda unakuta mji umerudi nyuma badala ya kwenda mbele, unajiuliza kwani nini kimehappen.
12. Mimi siwanusi watu 😀. But watu wa kule hawaogi asubuhi wanapokuwa wanatoka kwenda kwenye shughuli zao, unlike daslamu ambapo hata mtoto mdogo before kwenda shule anaoga. Wananawa miguu before sleeping.
13. Siyo kwamba watu huona strangers weird, wahaya ni weird tuu by nature. Mbona unawatetea mkuu, are you a haya by any chance? 😜.
14. Kuna Ile situation ya miradi ya kuuendeleza mji. Bukoba hiyo miradi nadhani Iko slow sana, sijui ni Kwa nini hapaendelei Kwa kweli.
🎁🎁🚚🎁🚚🚚🚚