Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikifikiria nilirudishwa hospitali sikutibiwa kisa bima yangu imefungiwa sikua nime-renew sipati picha ningekua na uogonjwa wa kufa kunoga sasa hivi ningekua chakula cha mchwaHizo dalili ni kama za ebola. Waweke karantini haraka sana. Shida yetu, tunapenda sana kufichaficha mambo. Wangesema wazi kuwa kuna wagonjwa mkoani Kagera wameonesha dalili za ugonjwa wa ebola, uchunguzi unaendelea, lakini kwa sasa maeneo hayo yamewekwa karantini, hakuna anayeruhusiwa kuingia wala kutoka.
Corona au Ebola?Hatimaye imetufikia
Akili za kipimbi hizi hata za kuvukia barabara hazitoshi.....Kagera mna majanga mabaya kwanini? Meko aliwaambia mkachukia alafu sifa mingi za kishamba.
Ulikua unaitwa Juliana sio UkimwiUkimwi
Utakuwa unawashwa kwelikweli.....Acheni sifa za kiboya tupo 21st century. Mnakuwa comedy.
WE JAMAA UNA AKILI SANA ILA BAHATI MBAYA HUJUI ULIVYOPOTOKA.Hujaambiwa kuna "changamoto za kupumua" watu wakakatazwa kutoa hata namba za wagonjwa wa Covid-19?
Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini.
Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana.
Kijana wa familia hiyo aliembeba mgojwa kumpeleka hospital amefariki jana jioni, na huyu kijana alilazwa majuzi Maruku na alikuwa anatibiwa na kashimun, usiku wa kuamkia leo saa tisa Mama Shangazi wa marehemu naye amefariki na ugonjwa unafanana.
Leo tunaambiwa Kashumun amefariki. Lakini kuna taarifa kwamba nesi mmojawapo aliyemuudumia mgonjwa hospitali ya Mkoa (Government) naye amefariki.
=====
UPDATES;
=====
KAGERA: YADAIWA WATU WANNE WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KWA UGONJWA, MMOJA YUPO HOI
Inadaiwa waliopoteza maisha Wanawake ni wawili (Reticia Benjamin na Theonestina Washington) na Wanaume wawili (majina hayajajulikana) huku mwingine mmoja akiwa amelazwa Kituo cha Afya Maruku, chanzo cha ugonjwa bado hakijawekwa wazi
Inadaiwa aliyeanza kufariki ni Mwanaume Machi 1, 2023, siku chache baada ya maziko ndugu watatu waliokuwa wakimuuguza nao wamefariki kwa Machi 15, 2023 kwa dalili za ugonjwa kama za ndugu yao, hali ambayo imezua sintofahamu
Mmoja alifia Hospitali ya Kagondo na wengine wamefia Hospitali ya Serikali Bukoba Mjini, wote wakiwa ni wakazi wa Kata ya #Kanyangereko
Inadaiwa miwili ya Wanawake imezikwa Machi 16, 2023 katika Kijiji cha #Butayebega wakati mwili wa Mwanaume mmoja ukiwa bado umehifadhiwa hospitali.Taarifa zaidi zitafuata
View attachment 2554129
HUJUI UNACHOKISEMA EWE KIRANGA.Hivi ndivyo serikali inavyotakiwa kufanya kazi.
Siyo serikali ya bwana yule.
MATAPELI MMEANZA KAZIHuu mzigo ni Ebola aisee.......
Haya nisaidie nijue nilipopotoka wapi mkuu?WE JAMAA UNA AKILI SANA ILA BAHATI MBAYA HUJUI ULIVYOPOTOKA.
HIYO AKILI UKIITUMIA VIZURI ITASAIDIA WENGI.
Ulifichwa jambo gani?Hivi ndivyo serikali inavyotakiwa kufanya kazi.
Siyo serikali ya bwana yule kufichaficha mambo.
Kudos.
Sijui nini ninachosema?HUJUI UNACHOKISEMA EWE KIRANGA.
Ukizitoa kinachofuata ni nini?Hujaambiwa kuna "changamoto za kupumua" watu wakakatazwa kutoa hata namba za wagonjwa wa Covid-19?
MATAPELI MMEINGIA
Daah, Jamaa una akili ila umekuwa mjinga bila kukusudia. Hujui unachokisema.Wawe isolated na wapimwe Ebola na Marburg.
MAJINGA SANA NYIEEbola jmn inatibika kbisa kama ukichelewa uwe ushaanza maombi ya toba kabisa mana 🥲🥲kupona utapona endapo wakikuwahi.
MAPUMBAVU KAMA WEWE NI KUPIGWA CHUMA YA MOTO TUKUTANE MBINGUNI KWA BABAHizo dalili ni kama za ebola. Waweke karantini haraka sana..