Kagera: Mwalimu ampiga mpaka kuua mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyevunja mlango wa nyumba yake ili kuiba simu

Hiyo ni kuua bila kukusudia akipata wakili mzuri kesi nyepesi hiyo
Anafungwa tena anafungwa mchana kweupe.
*Mtuhumiwa nadhani ni under age if 18 alikua ana uwezo wa kumdhibiti,na katika maelezo kijana alikua anajaribu kukimbia inamaana huwezi ukasema ni act if defence ilhali mtu hakuwa anakushambulia.
Hiyo ni murder case mzee sio homicide/manslaughter.
 
Mwalimu wa Shule ya Msingi...
Mwanafunzi ni kidato cha tatu...
Huenda Mwalimu alikuwa anajua anapigana na Mwizi, na hakumtambua Mwizi kama ni mwanafunzi wake.
 
Stress za mafukara. Hata waajiriwa wa serikal haswa waalim ni mafukara tu, unawezaje piga mtoto hadi umuue
 
Huyo kakusudia kuua kumpigia ngumi usoni kisha akaenda kutafuta nondo na kumpigia nayo ni mwilini ni first degree murder
 
Kwahiyo alimpiga mwizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…