Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

Usilinganishe hostel na shule mkuu? hahahahaaaaaa, kwenye hostel kuna maabara? kwenye histori kuna vitabu? Kwenye hostel kuna maktaba? Mkuu tuwe serious basi. Kwenye hostel si kuna ni frem za vyumba tu au.
Kaka bilioni 10 zisikie tu hivi. Hata kungekuwa na maktaba gani au maabara ya aina gani (hasa kwa shule ya sekondari) tena marekebisho, hizo hela nyingi sana.
 
hayo maswali yako hata ukipata majibu hayatakusaidia kitu peleka mtoto akasome hiyo shule basi
 
Kaka bilioni 10 zisikie tu hivi. Hata kungekuwa na maktaba gani au maabara ya aina gani (hasa kwa shule ya sekondari) tena marekebisho, hizo hela nyingi sana.
Bilioni 10 ni hela ndogo sana mkuu
 
Kuna watu hawapendi kabisa kuona kitu Kama hiki, wangefurahi sana wangeona wanafunzi wanakaa chini hapo ili wapate cha kuisema serikali Ila kwa shule hilo hakika Kuna watu wameumia sana.
hahahaha hahahahhhhhhh, mwaka huu kwa kua vijana wa UV CCM tupo humu tutapelekeshna sana mpaka watambwela tu
 
Unamsifu Magufuli kwa kutumia fedha za rambirambi?
 
Imekuwa nzuri sasa iwe st thomas more colleges ya mwanzo sasa ....

Nimepamis wale wa meru chini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka bilioni 10 zisikie tu hivi. Hata kungekuwa na maktaba gani au maabara ya aina gani (hasa kwa shule ya sekondari) tena marekebisho, hizo hela nyingi sana.
Mkuu hiyo imejegwa upya from scratch neno marekebisho linatumika kwasababu ilikuwa ina exist sio mpya.
 
Shule ipo bukoba ila cha ajabu mabweni yameandikwa majina kutoka uchagani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…