Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

Usilinganishe hostel na shule mkuu? hahahahaaaaaa, kwenye hostel kuna maabara? kwenye histori kuna vitabu? Kwenye hostel kuna maktaba? Mkuu tuwe serious basi. Kwenye hostel si kuna ni frem za vyumba tu au.
Samahani ndugu naomba kuuliza kwa mtazamo wako hayo majengo kweli yanaweza gharimu bilioni 10 kweli? B10 ndefu sana asee
 
Asanteni sana Waingereza kwa support kuijenga upya Ihungo SS, kufuatia janga la tetemeko Kagera.Natamani serikali iseme kweli ilitoa fungu gani kusaidia wahanga toka bajeti ya serikali, mbali ua michango wahisani nwa Watanzania binafsi.
 
Meko aifanye iwe chuo
 
Kadema(RIP) walikuwa wanataka maendeleo ya watu!
 
Huu sio ukarabati wamejenga upya hapakuwa hivi...

Wale wa meru
Meru mie mwenzako kaka nyuma ya uruguru kupitia chamber Yangu ya underground .kweli haijakarabatiwa imejengwa maana sioni structure hata moja ya zamani .mastery for service imerudi
 
Kuna watu hawapendi kabisa kuona kitu Kama hiki, wangefurahi sana wangeona wanafunzi wanakaa chini hapo ili wapate cha kuisema serikali Ila kwa shule hilo hakika Kuna watu wameumia sana.
Swali hapa hiyo b 10
Je ni sahihi imetumika?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…