Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Wakuu,

Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba.

Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale waraabu wanaoa hadi wake 8. Wanaoa na kutoa talaka.

Mashirika ya Kiserikali na NGO's kawasaidie wakina Mama wa Katoro kutoa elimu ya Uzazi wa Mpango. Na Muwasaidie kupata haki zao kutoka kwa Hawa Waarabu wa Katoro.

Nilikuta na Mwarabu anapepeta Kihaya, kukuuliza eti yeye ni Mhaya wa Katoro.

Katoro ipo Bukoba Vijijini Mkoani Kagera
 
Kwa kijana alieko Katoro ya geita, njoo pm nikupe kazi nyepesi malipo elf 10 chap.
Sio kazi ya kufanya, hapana, ni kazi ya kufika eneo fulan hapo katoro Ili kuona mtu fulan kama yupo / hayupo eneo hilo na kuripot kwangu (pm). Kisha unapata 10k Tsh yako chap.

Nikikuzurumu niripoti kwa Maxence Melo nipigwe ban ya maisha.

Na wewe ukinizurumu kazi (nikikulipa ukashindwa kufanya kazi yangu/nikaja gundua ulifoji) nakuripoti pia
 

Ndugu Zangu Zaeni Elimu Ni Bure, Hata China Na India Ziliendelea Kwakuwa Na Watu Wengi Sana! Najua Waziri Wa Afya Upo Hapo Japo Hupendi Lakini

KIpindi Changu Cha Urais Zaidi

By Jiwe
 
mkuu hiyo ya bukoba ni katolo…
katoro hii uliondika hapa ni ya geita, acha kuchanganya mambo umenistuq sana maana katoro ya geita hakuna machotara
 
Labda katoro nyingine mkuu,Maana katoro ipo chato,geita. Umaskini huko ni kiwango kikubwa na wanawake wengi wana tamaa ya maisha mazuri hivyo kutumika namna hio rahisi sana.

katoro unayosemea wewe ni ya chato ila Katoro nayoijua mimi ya geita hakuna masikini wa kiwango unachokisemea hapa acha kupotosha umma
 
Yani huko ndo kwetu kabisa. Usisahau na wale waarabu wa kyabagenzi
 
Back
Top Bottom