Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

Wakuu,

Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba.

Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale waraabu wanaoa hadi wake 8. Wanaoa na kutoa talaka.

Mashirika ya Kiserikali na NGO's kawasaidie wakina Mama wa Katoro kutoa elimu ya Uzazi wa Mpango. Na Muwasaidie kupata haki zao kutoka kwa Hawa Waarabu wa Katoro.

Nilikuta na Mwarabu anapepeta Kihaya, kukuuliza eti yeye ni Mhaya wa Katoro.

Katoro ipo Bukoba Vijijini Mkoani Kagera
Acha kuingialia mapenz ya watu
 
Labda katoro nyingine mkuu,Maana katoro ipo chato,geita. Umaskini huko ni kiwango kikubwa na wanawake wengi wana tamaa ya maisha mazuri hivyo kutumika namna hio rahisi sana.
Wewe nawe nani kakudanganya kwamba Katoro iko Chato Geita ? Usahihi ni kwamba Katoro iko Wilaya ya Geita mkoa wa Geita.
 
Mkuu Katoro ipo mkoa wa Geita Wilaya ya Chago na siyo mkoa wa Kagera
Pole sana Katoro iko wilaya ya Geita jimbo la uchaguzi la Busanda. Aliyekuambia kwamba iko Chato alikudanganya sana. Pole.
 
Labda katoro nyingine mkuu,Maana katoro ipo chato,geita. Umaskini huko ni kiwango kikubwa na wanawake wengi wana tamaa ya maisha mazuri hivyo kutumika namna hio rahisi sana.
Ahaa haaaah. Achana na Katoro hiyo ya Geita. Kuna Katoro 'asilia' huko Bukoba vijijini.
 
Hao waarabu wameshakengeuka,nachojua hawa jamaa wanapenda ngono lakini huwa hawapendi kabisa kuzaa na mtu mweusi

Bila shaka huko kondomu hawazijui,hivyo vibinti unavyovisema vitakuwa vimeshawaka
 
Sasa kama dada zenu wanatushobokea sisi waarabu ukoko tufanyeje?.....ni mwendo wa pum** tu mpaka waelewe somo kudaadeki...
 
Tatizo wale Waarabu binti wa watu akishazaa, wanamzalisha binti wa watu na kutelekeza. VSingle mama kibao.

Kila binti mzuri kazalishwa na Waarabu
Sasa sii wajanja wanakula mbususu tamu tamu
 
Back
Top Bottom