Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

Kwa kijana alieko Katoro ya geita, njoo pm nikupe kazi nyepesi malipo elf 10 chap.
Sio kazi ya kufanya, hapana, ni kazi ya kufika eneo fulan hapo katoro Ili kuona mtu fulan kama yupo / hayupo eneo hilo na kuripot kwangu (pm). Kisha unapata 10k Tsh yako chap.

Nikikuzurumu niripoti kwa Maxence Melo nipigwe ban ya maisha.

Na wewe ukinizurumu kazi (nikikulipa ukashindwa kufanya kazi yangu/nikaja gundua ulifoji) nakuripoti pia
Sijui nipige hii teni?
 
Huko katoro ya Bukoba ndio kuna shule walimu walishirikiana na baadhi ya wanafunzi kumuua mwanafunzi aliyekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mvulana mwenzake
 
upo katoro tuonane??
Kuna majina yanafanana na watu wanayachanganya...wiki iliyopita nilipita hapo Katolo kuelekea kwenye kaziwa kadogo mbele ukishavuka mto Ngoto nikaona Kuna Shule ya msingi Nyakabindi Kama kule Bariadi Simiyu.

Huko ndo maeneo ya kijijini kwao alikozaliwa Tajiri Nizar Kalemani.
 
Tatizo mkuu umembishia kila mtu kuanzia mleta mada hadi aliyekua ananipa elimu ya katoro ya geita na bukoba. mleta mada kakosea tu spelling,aliyenioa elimu sijaona alipokosea . Mkoseaji ni mie ila tu katoro ya chato vibinti vimechangamka sana na single mothers wengi mno hapo ndipo nilipochanganya madesa
sio ujuajuaji labda kipi nimekijibu kijuaji…jambo usilolijua me ni mkazi wa katoro kwa hiyo majibu yangu ni ya uhalisia Na sio ujuaji
 
Wakuu,

Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba.

Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale waraabu wanaoa hadi wake 8. Wanaoa na kutoa talaka.

Mashirika ya Kiserikali na NGO's kawasaidie wakina Mama wa Katoro kutoa elimu ya Uzazi wa Mpango. Na Muwasaidie kupata haki zao kutoka kwa Hawa Waarabu wa Katoro.

Nilikuta na Mwarabu anapepeta Kihaya, kukuuliza eti yeye ni Mhaya wa Katoro.

Katoro ipo Bukoba Vijijini Mkoani Kagera
Mkuu Katoro ipo mkoa wa Geita na siyo mkoa wa Kagera
 
Kagera kwanza siyo wahaya wao ni wanyambo.....

Ova
 
mkuu hiyo ya bukoba ni katolo…
katoro hii uliondika hapa ni ya geita, acha kuchanganya mambo umenistuq sana maana katoro ya geita hakuna machotara
Ruhusu akili yako kujifunza, ubishi haukusaidii. Haya numekubali Katoro ipo Geita, Then what?
Screenshot_20220606-202633.png
 
Back
Top Bottom