Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

Wakuu,

Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba.

Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale waraabu wanaoa hadi wake 8. Wanaoa na kutoa talaka.

Mashirika ya Kiserikali na NGO's kawasaidie wakina Mama wa Katoro kutoa elimu ya Uzazi wa Mpango. Na Muwasaidie kupata haki zao kutoka kwa Hawa Waarabu wa Katoro.

Nilikuta na Mwarabu anapepeta Kihaya, kukuuliza eti yeye ni Mhaya wa Katoro.

Katoro ipo Bukoba Vijijini Mkoani Kagera
Yaani nyie wenyewe mnashindwa kuwajibika kuwasimamia mabinti zenu mnataka serikali ndo ije kuwafunga gavana, basi kaeni hapo kuisubiri hiyo serikali.
 
Wacha watu wazaliane ili Taifa liongeze nguvu kazi
Nalog off Z
 
baada ya kudakwa what next, sio kila kitu kipo negative chief
Wewe unanichanganya na hujui matumizi ya Majukwaa. Waliokutuma wamekidanganya. Hii thread inahusiana nini na ulichokiandika? Tumia akili boss
 
Labda katoro nyingine mkuu,Maana katoro ipo chato,geita. Umaskini huko ni kiwango kikubwa na wanawake wengi wana tamaa ya maisha mazuri hivyo kutumika namna hio rahisi sana.
Chato hakuna Katoro
 
Serikali irudishe kwa nguvu elimu ya uzazi wa mpango
 
Back
Top Bottom