Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

Kweli wewe hamnazo, ni sheria ipi inasema hivyo na imeandikwa wapi kwamba kila jina lazima lianze na herufi kubwa? Kama wewe unajifanya msomi kuliko mimi naweza nikahitaji tuweke vyeti hapa! Maana mimi sioni ugumu wowote kufanya hivyo.
Zero brain umekariri tu hujaelimika. Kajifunze upper case na lower case kwanza ndio uje kushindana na akili kubwa.
 
Yaani unazidi kuonesha upumbavu wako kwa kufananisha mpira na siasa! Kweli wewe akili zako ukubwa wake ni sawa na kisoda!
Soon aja ya kumkashifu mwezako... Yeye katoa mawazo yake yaeshimu auwkosoa kistaharabu ayo nimawazo yake duniani hakuna kisichobadiriki ndo maana leo unaona ata rais wa fifa anakuja na taratibu zake bazo hazikuwepo kwenye mpira wa miguu
 
Zero brain umekariri tu hujaelimika. Kajifunze upper case na lower case kwanza ndio uje kushindana na akili kubwa.
Akili kubwa ipi? Hii inayoongozwa na mihemko? Hujui hata kutofautisha mpira na siasa ndio unajiita akili kubwa! Inaonesha huko shuleni ulikuwa unawasindikiza wenzako.
 
Wapewe tu na ubingwa maana hakuna namna nyingine ya Bw Malinzi kurudi madarakani
 
Kwa sababu akili yako ni ndogo, hujui kilichofanyika ni siasa za mpira.
Acha ushabiki maandazi wewe! Kwani sheria si zinaeleweka wazi kwamba ukiwa na straight yellow tatu kinachofuata na ukacheza mchezo unaofuata lazima timu itakatwa points! Hiyo ni sheria sio mimi! Sasa hapo siasa ipo sehemu gani?
 
Ajibu alishawahi kuwa na kadi tatu za njano lakini mechi inayofuata akacheza, alipokatiwa rufaa simba walidai mchezaji mwenye kadi 3 anaruhusiwa kucheza kwakuwa klabu ita amua nimechi ipi atatumikia iyo adhabu. Na Tff wakaipa simba ushindi.
Simba waliicheza na Polisi Novat Lufunga alichezeshwa akiwa na kadi 3 na polisi walipo kata rufaa, wakaambiwa kadi zile alizipata kwenye ligi tofauti na kombe la Tff. Vilevile waliambiwa rufaayao imechelewa. Yaani kila siku Tff wanahamisha magoli, ili jambo nila kutia aibu sana.
 
Mkuu acha kulia lia kata rufaa ili simba iporwe hizo point
 
Kama ni kweli anazo kadi 3 basi wanastahili kunyanganywa hizo points 3
Kama hana kadi 3 basi Kagera anastahili kubaki na points zake 3
MIJIZUNGU INA AKILI KULIKO SISI
Inakubali ukweli na inakataa uwongo
 
what comes around goes around
kagera sugar kuna mwaka tuliwapiga 2 bashite wakakata rufaa kisa kumchezesha mgosi tulipokonywa point
 
Duuu, haya bhana twende kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…