Ajibu alishawahi kuwa na kadi tatu za njano lakini mechi inayofuata akacheza, alipokatiwa rufaa simba walidai mchezaji mwenye kadi 3 anaruhusiwa kucheza kwakuwa klabu ita amua nimechi ipi atatumikia iyo adhabu. Na Tff wakaipa simba ushindi.
Simba waliicheza na Polisi Novat Lufunga alichezeshwa akiwa na kadi 3 na polisi walipo kata rufaa, wakaambiwa kadi zile alizipata kwenye ligi tofauti na kombe la Tff. Vilevile waliambiwa rufaayao imechelewa. Yaani kila siku Tff wanahamisha magoli, ili jambo nila kutia aibu sana.