Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

Yanga bwana! Wanahaha utadhani ni wao wamenyang'anywa. Jamani hizo ni kanuni za soka
 
Kama namuona demigod alivyoweka ndita!! Tulia kijana na wenzio, haki lazima itendeke!! Nasikia ndala bado wanaongoza ligi kwa ile 'point 1' ulosemaga!
Sipati picha tutakavyomgaragaza yule mwana wa Yanga keshokutwa, ni mwendo wa point 9 kanda ya ziwa! Hamna namna!
 
Yanga bwana! Wanahaha utadhani ni wao wamenyang'anywa. Jamani hizo ni kanuni za soka
 
Jumapili ndo mwisho wa ligi kuu jumatatu tunatinga mahakamani kuisimamisha ligi isiendelee
Haina shida, Mkienda mahakamani tunapekua tena kanuni kujua zinsemaje, na mwisho mnashushwa daraja. Simba oyeee.
 
Back
Top Bottom