mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
- Thread starter
- #21
Kuvunja sheria na kuhukumiwa sio uonevu! Ni suala la uwajibikaji tu!Ama kweli TFF imehamia simba mhh tutaona mbele huko maana mmebebwa weeeee mpaka mnapewa za mezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuvunja sheria na kuhukumiwa sio uonevu! Ni suala la uwajibikaji tu!Ama kweli TFF imehamia simba mhh tutaona mbele huko maana mmebebwa weeeee mpaka mnapewa za mezani
Acha matusi wewe kipele! Hujui kuna baba zako humu.manina zao TFF
serengeti boys hoyeeHahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushindi wa mezani
Simba oyeeeeee
Mahakama gani?Jumapili ndo mwisho wa ligi kuu jumatatu tunatinga mahakamani kuisimamisha ligi isiendelee
Afadhali ushindi wa mezani ila wa haki kuliko ushindi wanaoshindaga vyura wa kununua timu!Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushindi wa mezani
Simba oyeeeeee
Ukiona Simba kapewa point zake ujue alistahili, nina uhakika Malinzi (tff) kapambana sana ila haki imetendeka!Ama kweli TFF imehamia simba mhh tutaona mbele huko maana mmebebwa weeeee mpaka mnapewa za mezani
Haina shida, Mkienda mahakamani tunapekua tena kanuni kujua zinsemaje, na mwisho mnashushwa daraja. Simba oyeee.Jumapili ndo mwisho wa ligi kuu jumatatu tunatinga mahakamani kuisimamisha ligi isiendelee
Ushindi ni ushindi tuu hata goli la mkono kama la BanyamulengeHahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushindi wa mezani
Simba oyeeeeee
[emoji2] [emoji3] [emoji3]Jumapili ndo mwisho wa ligi kuu jumatatu tunatinga mahakamani kuisimamisha ligi isiendelee
Kwa mtu ambaye hajui kanuni na sheria za soka lazima u comment hvMimi ni simba lakini point za kuvizia sizipendi, kwa sababu endapo wangeshinda wangekata rufaa?
Wacha waende tuu Simba nguvu mojaHaina shida, Mkienda mahakamani tunapekua tena kanuni kujua zinsemaje, na mwisho mnashushwa daraja. Simba oyeee.