Kagera: Watoto 10 wamefariki na 6 kujeruhiwa baada ya shule Msingi Islamic Byamungu kuwaka moto

Kagera: Watoto 10 wamefariki na 6 kujeruhiwa baada ya shule Msingi Islamic Byamungu kuwaka moto

Mimi ni Muislam.. Ni kweli shule zetu zinahitaji kuchunguzwa.. sawa moto ni ajali lakini kwetu yamezidi.. Nahisi migogoro yetu wenyewe kwa wenyewe hii...
Muislam achome Shule yake mwenyewe ili iweje?
 
Au Yale majamaa ya msumbiji yametinga nchini?. Serikali fuatilieni suala hili huko mashuleni.
 
Ehh Mungu awarehemu watoto wapumzike kwa amani
Poleh kwa familia

nimejikuta nimekumbuka boarding miaka hiyo we were soo innocent dahh😭😭
 
hapo ndo utakapoona uvumilivu wa waislam, maana zingekuwa za wakristo ndio zinaungua mashekh wangekuwa magerezan sasa hivi
Mhh tafadhali
Uhusiano wa Sheikh kuwekwa jela kisa shule ya kikristo kuungua umekujaje..tuwe na busara basi!!

shule ipi ya kikristo ishaungua na Sheikh yupi akawekwa ndani?.!
 
DCI, TISS, POLISI NA SERIKALI KWA UJUMLA WAPO BUSY NA CHADEMA.

HIZI SHULE HAZIJAANZA KUCHOMWA LEO.

ILIANZIA SHULE ZA DAR SASA IMESAMBAA MIKOA YOTE.

WATAKAOUMIA NI WANAFUNZI NA WAZAZI.
Hivi nyie mashabiki wachadema mpo timamu kweli? Kuna kitu kimepungua kwenye bongo zenu sio bure. Hao chadema ni nani hadi unaowataja hapo juu wajishughulishe nao?

Mpumzike kwa amani malaika wa Mungu.
 
Poleni sana mliokumbwa na msiba, mwenyezi Mungu azipumzishe kwa amani roho za watoto wetu, na wale majeruhi tunawaombea wapone haraka, amina!
 
Back
Top Bottom