JF kuna homa Kali ya mihemko.Inabidi homa hii itibiwe haraka tarehe 28/10.Yaan ,wakiona umati mkubwa wa kumsikiliza Lissu.Wanahamini kuwa wanamsapoti Lissu.Lakini watu hawahawa walikuwepo kwa Magu.Tuwapongeze tu ,wananchi wa Tanzania kuwa wanapenda kusikia Sera. Kupiga kura in kitu kingine ,kuhudhururia mkutano kitu kingineKwamba afute uchaguzi????
Simama wima, kunja ngumi mkono wako wa kuume halafu jipigepige kifuani huku ukisema "mimi ni kiazi namba moja Tanzania".sitashangaa jiwe akajitoa na kususia uchaguzi
Lissu kashikilia koromeo...no pumzi
Sasa hivi yuko Anatropia Theopist naamini atashindaKyerwa ndo kwa yule mbunge machachari wa Zamani, Mutungirehi.
Huyu mwaka 2015 CCM walichakachua ushindi wake waziwazi
Simama wima, kunja ngumi mkono wako wa kuume halafu jipigepige kifuani huku ukisema "mimi ni kiazi namba moja Tanzania".
Huogopi kumwekuliwa na huyo ndugu....We endelea kuloga tu ndugu zako uwamwekuemwekue tu...hii ishu imekuzid kimo
Pia ni fisadi kupitia Mayanga construction!Jiwe is looser!
Hatufai kwa lolote!Pia ni fisadi kupitia Mayanga construction!
NimejizatitiHuogopi kumwekuliwa na huyo ndugu....
The guy is doing good against jiwe.
Naomba Lissu akishachukua nchi aunde tume ya kuchunguza hii kampuni ni jinsi gani ilivyokuwa ikipata tenda na kwanini haikamilishi kazi kama mikataba inavyotaka na hakuna hatua yoyote iliyokuwa ikichukuliwa.Pia ni fisadi kupitia Mayanga construction!
Huyo babu kesha expireHuyo lisu wenu anaingia mara ngapi hapa?
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1576876
Hajaribiwi huyo kwa mujibu wa story yake!!Nimejizatiti
Na je wale wanaosombea na magari na wafanyakazi wa umma kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CCM unasemaje?JF kuna homa Kali ya mihemko.Inabidi homa hii itibiwe haraka tarehe 28/10.Yaan ,wakiona umati mkubwa wa kumsikiliza Lissu.Wanahamini kuwa wanamsapoti Lissu.Lakini watu hawahawa walikuwepo kwa Magu.Tuwapongeze tu ,wananchi wa Tanzania kuwa wanapenda kusikia Sera. Kupiga kura in kitu kingine ,kuhudhururia mkutano kitu kingine
Na ndiomana wanaendelea kudumaza elimu ili waendelee kukuza ujinga nchini kwa faida yao. Nijuacho wasomi na wenye weredi wapo CCM kwa matumbo yao na mengi hawaafikiani nayo ila ndio hivyo HOFU imewatanda.Mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania.
Hivi Magufuli ni wapi alipopata watu wengi walioenda wenyewe? Hakuna hata sehemu moja. Mimi nipo Mwanza. Nguvu iliyotumika kuwapata watu wahudhurie mkutano wa Mwanza, usiambiwe.Yaan ,nimecheka sanaaaa!!Sehemu ambayoLissu anapata mapokezi mazuri ,tayari .Lissu for President. Naona Kigoma kimya,Geita hatukuona hats picha.Nafikiri tutumie hakiri tu.Amepata mapokezi makubwa mikoa mingapi?Kati ya 26?