Kagoda: Ni Rostam

Kagoda: Ni Rostam

"Asimame na aueleze umma wa Watanzania kuwa yeye alitekeleza tu na matokeo yake ni Kikwete ndani ya Ikulu. Kama hasemi basi wimbo utabaki pale pale!"
*******************

NONO:
Support! Anaogopa nini kuingia hadharani na kuikana kagoda? Atakuwa shahidi mzuri kwa akina Feleshi ambao hadi sasa eti hawana ushahidi!
 
Jamani hili sakata la Rostam, KAGODA, Dowans et al, vipi mbona kimyaaaa!!!! Gen Al aydaw ashalipwa fedha zake?
 
Haya ndio Maswali CCM wajibu na KIGODA na Mwakyembe. Sio kutupa viini macho vya KIKABURU na UFISADI mtupu
Taasisi unatupotezea lengo! Typical of Rostam Aziz tactics za danganya toto. Unamwingizaje Mwakyembe kwenye ujinga huu? Mwakyembe continues to be our hero, mtake msitake! Unachanganya yai viza na maziwa? Mwakyermbe kakosa nini? Ni hizi accusations za kijinga za magazeti ya huyo fisadi Rostam?
 
What is the matter with Tanzanians? Why do we always take the same bait? Rostam anaiba, wenzake wako mahakamani, he is scot-free halafu anatunga ngonjera za uongo against serious Tanzanian politicians: Sitta ameforge risiti za dawa, Sitta anatumia magari ya Bunge kuwahudumia vimada wake, Mwakyembe anaiba maji ya DAWASA, Selelii anatukana Waislamu, Mwakyembe ana mgongano wa maslahi n.k. and we believe him sheepishly! Mmesahau nini ? Si ni huyu huyu Rostam aliyevunja miiko yetu yote ya uwajibikikaji kwa kumpa Spika wa Bunge Msekwa uenyekiti wa VODACOM? Akatumia magazeti yake kuzima hoja ya mgongano wa maslahi, leo analeta mgongano wa kimaslahi kwenye kampuni ambayo haikushiriki kwenye tenda husika na wala haijaanza kazi, and yet you believe this corrupt Iranian?
 
what is the matter with tanzanians? Why do we always take the same bait? Rostam anaiba, wenzake wako mahakamani, he is scot-free halafu anatunga ngonjera za uongo against serious tanzanian politicians: Sitta ameforge risiti za dawa, sitta anatumia magari ya bunge kuwahudumia vimada wake, mwakyembe anaiba maji ya dawasa, selelii anatukana waislamu, mwakyembe ana mgongano wa maslahi n.k. And we believe him sheepishly! Mmesahau nini ? Si ni huyu huyu rostam aliyevunja miiko yetu yote ya uwajibikikaji kwa kumpa spika wa bunge msekwa uenyekiti wa vodacom? Akatumia magazeti yake kuzima hoja ya mgongano wa maslahi, leo analeta mgongano wa kimaslahi kwenye kampuni ambayo haikushiriki kwenye tenda husika na wala haijaanza kazi, and yet you believe this corrupt iranian?

Nakuunga mikono na miguu !!! You are very right, just above the max. trueth. Keep it up
 
Should the all these contributions of wana JF be taken seriously. I mean what will happen siku tukimpa invisible au Mwanakijiji au mshiiri au bubu au msemakweli au mzalendo au steveD au yoyote humu nchi.

Jamani yangu macho na masikio mambo yatakuwa haya haya au mabaya zaidi. Tusikae tu kuongea na kusubiri mambo ya badilike yenyewe. Tunasubiri nini, nafasi zetu za kula siku tukipata vyeo au tunasubiri kufa na maneno yetu kinywani.

Kinachotakiwa sasa ni kuorganise some kind of action. JF itusaidie kwa hilo, kuorganise a concrete opposition action, open and transparent ambayo itasaidia kufichua na kuhamasisha umma kuhusu ufisadi. Na hii ndiyo itapeleka Tz kwenye next level, ile ya civil disobidience kama nchi za wenzetu, civil disobidience inayotosha kumfanya rais ajiuzulu.

Tusisubir hadi tuanzishe vyama vya siasa. Kwanza haviko effective kuleta mabadiliko. Kila mtu aanze sasa. Baadhi yetu (mmoja mmoja) tunaweza kupoteza maisha, ndiyo, lakini hiyo itakuwa ni sadaka itakayosaidia nchi. Na damu ya mtu haipotei bure. Sijapata bado clear idea of how this course of opposition action and civil mobilisation inavyoweza kufanywa, lakini discussions humu JF zingelenga kuchangia mawazo ya kuelekea huko.

We should be discussion on what to do, on solutions. Hiyo ndio itaonyesha nia yetu hasa ya kubadilisha nchi hii. la sivyo tunapiga tu kelele kwa sababu haujapa ulaji (wa kifisadi), siku tukiupata tutanyamaza kimya kama sio sisi.

Hebu kuwa incharge lete hapa hiyo strategy ya kubadilisha mambo mara moja... please take the lead. Ingawaje umesema watu humu JF wakipewa nafasi mambo yaweza kuwa hivo hivo au worse, sijui ni nani unafikiri akipewa ataleta +ve change?
 
shishye
Hakuna mtu wa kuleta mabadiliko yeyote ya maana.....hizi zote ni njaa tu....kelele utapiga ukiwa nje ya system,lakini ukishaingia its whole different story!!!!jamani maisha yetu ya kibongo mnayajua...eti uchungu na nchi yenu...thubutu!!!!!we mwambie Slaa na wenzake kama yeye kama wanasikia uchungu kwamba posho wanayopata ni nyingi basi sehemu ya posho waigawe kwa masikini au wenye matatizo kama hayo ,uone atakavyokutolea macho!!!.....ukipata nafasi kula tu taratibu ndugu yangu una ndugu,jamaa,marafiki nk wanakusikilizia uwasaidie!!!!HII NDIYO HABARI
 
Nafikiri uungwana ni pamoja na kukubali kushindwa hivyo JK awe mungwana then wananchi wafanye kazi yao. RA kweli ni fisadi anayetisha manake ameweza na kujaribu kusambaratisha hata juhudi za kufichuka ukweli. Hata KWENYE KAMPUNI YAKE YA WALE WAPAMBE WASHENZI YA MAGAZETI YA NEW HABARI(2006) ltd WANAOMTETEA NASIKIA KANUNUA NA KAANZA UFISADI. Kodi halip[ina kuna deni la kutisha, NSSF hapeleki na kuona deni kubwa kawahamishia wafanyakazi PPF. N apia nasikia managers na wahariri wote kawapa titles za consultants ili akwepe kodi. Muhingo muulizeni kama hajui hilo. Watu wa habari mnataka stori gani zaidi ya hiyo?
 
shishye
Hakuna mtu wa kuleta mabadiliko yeyote ya maana.....hizi zote ni njaa tu....kelele utapiga ukiwa nje ya system,lakini ukishaingia its whole different story!!!!jamani maisha yetu ya kibongo mnayajua...eti uchungu na nchi yenu...thubutu!!!!!we mwambie Slaa na wenzake kama yeye kama wanasikia uchungu kwamba posho wanayopata ni nyingi basi sehemu ya posho waigawe kwa masikini au wenye matatizo kama hayo ,uone atakavyokutolea macho!!!.....ukipata nafasi kula tu taratibu ndugu yangu una ndugu,jamaa,marafiki nk wanakusikilizia uwasaidie!!!!HII NDIYO HABARI

Hii ndio attitude ambayo lazima tuing'oe. Watu w kuleta mabadiliko wapo mifano tunayo Waangalie kina Mwakyembe walichoifanyia nchi hii - for whatever motive - wamejitoamuhanga sana ku-expose ufisadi. We unafikiri ni rahisi kujiweka kwenye position aliyoko? Tupo kabisa wenye uchungu na hii nchi. Unahitaji kujua ni watu wangapi wanakufa nchi hii kwa kunyimwa haki ya kuwa na uwezo wa ku-afford dozi moja ya malaria tu! Hiyo tu inamnyima uhai. Nenda vijijini uwaone kina mama - dada zetu hawa wanavyopoteza watoto wao baada ya uchungu wa kuwabeba kwa miezi 9, kisa hawapati kujifungua salama. Watu wanakufa bila makosa. Kama bado huna uchungu na nchi basi wewe uko hapa kimakosa, ndio nyie has tunataka tuwaondoe kwenye nyadhifa zozote.

Mtu chake bwana hata kingekuwa kingi vipi, hakuna aliyewahi kutosheka na mali duaniani hapa. Cha msingi ni uhalali wa jinsi unavyokipata. Silaa hakumaanisha anataka kugawa mali zake kwa watu, maana kama hivyo asingekuwa na haja ya kudiskas si angetoa tu? Ujumbe ni kwamba yeye na wabunge wenzake na wewe na mwingine (kibosile kama wewe) mnalipwa hela nying mno ukilinganisha na mwananchi wa kawaida asiye kuwa na uezo wa kuafod dozi moja ya malaria. Wito wake ni kwamba hizi zipunguzwe kiuwiano ili nao wa chini wapate ahueni, wakiumwa wapate dawa, wakijifungua watoto wazaliwe wazima n.k. Kwanini unafikiri haki ya kuishi ni yako tu wewe tuliyekupa nafasi ya kututumikia?

Wewe unafikiri rafiki yako ni nani? jamaa na ndugu yako ni yupi? Hiyo mali unayoibia wenzako unajirundikia at the expense of killing other fellow tanzanians (wanaoshindwa kuafod dawa na matibabu, shule, usafiri na huduma nyingine) zitakusaidia nini? Unafikiri ndio utaishi kwa raha huku wenzako wanakufa tu kila siku kwa matendo yako maovu?

Lazima tujifikire na tumrudie Mungu. Haya mawazo yako si sahihi na humtendei haki wa kijijini aliyekusomesha kwa kodi yake ili umkomboe. Hakuna habari hapo. Acha kuwatesa na kuwaua ndugu, jamaa na marafiki zako.
 
Hivi Serikali imeshamaliza hili suala la Kagoda? Naomba wabunge mjitahidi kikao hiki tupate ukweli.
 
Hivi Serikali imeshamaliza hili suala la Kagoda? Naomba wabunge mjitahidi kikao hiki tupate ukweli.
Ndo Bunge linafungwa leo! Session hii hakijaeleweka mpaka naandika.

Wasiwasi wangu ni Rostam baada ya 'kummaliza Mengi' atakuja kwa Invisible. Nakusanya data zangu mapeeema!

Safari ndio inaanza hivi...
 
Kumekucha na mapambano yanaendelea Invisible funga mkanda gari linatia kasi
 
walisema.............. "Mpaka kieleweke"

Mkuu Invi... na wanaJamvi wenzangu, safari ndio tumeianza na nina uhakika hata kama itakuwa sio kesho/kesho kutwa, laikini lazima kieleweke... tupo pamoja!!!
 
Ndo Bunge linafungwa leo! Session hii hakijaeleweka mpaka naandika.

Wasiwasi wangu ni Rostam baada ya 'kummaliza Mengi' atakuja kwa Invisible. Nakusanya data zangu mapeeema!

Safari ndio inaanza hivi...
Mkuu wengine tulidhani wewe ni Invisible? Hawa jamaa watajaribu kutupa jiwe kwenye kichaka kisha wasubiri kuona kitakachotoka; dawa ni kubaki hukohuko!
 
Wasiwasi wangu ni Rostam baada ya 'kummaliza Mengi' atakuja kwa Invisible. Nakusanya data zangu mapeeema!

Safari ndio inaanza hivi...

Mkuu wasi wa nini tena? na RA kammalizaje Mengi hapa.....to me issues ndo kwanza zinaanza!

Kwa wapambanaji, hakuna raha ukiwa na information za uhakika ukajua ukweli na wanaotaka kujua ukweli huo wakajulishwa wakajua na kuelewa na kuitetea kweli hiyo, then hata ukinyongwa, ukionewa au kufanyiwa anything na vyombo vya sheria au anybody.........ni ushujaa wa hali juu kwako binafsi na kwa jamii elewa........hiyo inaitwa kufa kwa ajili ya wengi....kam Jesus alivyofanya (for belivers)

So mkuu you have nothing to worry, nothing to loose....kanyaga twende!!
 
Mkuu wengine tulidhani wewe ni Invisible? Hawa jamaa watajaribu kutupa jiwe kwenye kichaka kisha wasubiri kuona kitakachotoka; dawa ni kubaki hukohuko!
Oh,

Mimi (kama unamaanisha nafsi moja...) ni Invisible, lakini mimi ni wewe! You get my point?
 
Mkuu wasi wa nini tena? na RA kammalizaje Mengi hapa.....to me issues ndo kwanza zinaanza!

Kwa wapambanaji, hakuna raha ukiwa na information za uhakika ukajua ukweli na wanaotaka kujua ukweli huo wakajulishwa wakajua na kuelewa na kuitetea kweli hiyo, then hata ukinyongwa, ukionewa au kufanyiwa anything na vyombo vya sheria au anybody.........ni ushujaa wa hali juu kwako binafsi na kwa jamii elewa........hiyo inaitwa kufa kwa ajili ya wengi....kam Jesus alivyofanya (for belivers)

So mkuu you have nothing to worry, nothing to loose....kanyaga twende!!
Wasiwasi? Hapana, not to me! Lakini ninachojua, ngoma inogile. Waziri mkuu anaelekea kupoza hii issue bungeni... Serikali haijamtuma YEYOTE na anayeongea anukuliwe kama YEYE na si Serikali.

Yangu mie macho 🙂
 
ROSTAMU AZIZI ni lazima afikishwe mahakamani kujibu tuhuma za wizi wa fedha za umma kupitia kampuni anayoimiliki ya Kagoda Agricultural.
Sivyo MH Jakaya Kikwete, kama ulivyo kubali Lowassa afe ili wewe upone ndivyo hivyo hivyo inakubidi umwache RA afe ili wewe upone. vinginevyo utaondoka na mpenzi wako RA.

ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa, safi sana lakini hapa mkuu ni kwamba aanze RA then JK swala lakupona halipo kwakuwa nae kaoza
 
18
COMPANY NAME: Meregesi Law Chambers

Shareholders and Directors: Johnson Lukaza and Maregesi

Related Company: Proin Properties/Kernel

Office Location: Plot 73 Kinondoni Road

Residence Address: ?

Hivi Johnson Lukaza ni mwanasheria?
 
Back
Top Bottom