Should the all these contributions of wana JF be taken seriously. I mean what will happen siku tukimpa invisible au Mwanakijiji au mshiiri au bubu au msemakweli au mzalendo au steveD au yoyote humu nchi.
Jamani yangu macho na masikio mambo yatakuwa haya haya au mabaya zaidi. Tusikae tu kuongea na kusubiri mambo ya badilike yenyewe. Tunasubiri nini, nafasi zetu za kula siku tukipata vyeo au tunasubiri kufa na maneno yetu kinywani.
Kinachotakiwa sasa ni kuorganise some kind of action. JF itusaidie kwa hilo, kuorganise a concrete opposition action, open and transparent ambayo itasaidia kufichua na kuhamasisha umma kuhusu ufisadi. Na hii ndiyo itapeleka Tz kwenye next level, ile ya civil disobidience kama nchi za wenzetu, civil disobidience inayotosha kumfanya rais ajiuzulu.
Tusisubir hadi tuanzishe vyama vya siasa. Kwanza haviko effective kuleta mabadiliko. Kila mtu aanze sasa. Baadhi yetu (mmoja mmoja) tunaweza kupoteza maisha, ndiyo, lakini hiyo itakuwa ni sadaka itakayosaidia nchi. Na damu ya mtu haipotei bure. Sijapata bado clear idea of how this course of opposition action and civil mobilisation inavyoweza kufanywa, lakini discussions humu JF zingelenga kuchangia mawazo ya kuelekea huko.
We should be discussion on what to do, on solutions. Hiyo ndio itaonyesha nia yetu hasa ya kubadilisha nchi hii. la sivyo tunapiga tu kelele kwa sababu haujapa ulaji (wa kifisadi), siku tukiupata tutanyamaza kimya kama sio sisi.