Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
*******************"Asimame na aueleze umma wa Watanzania kuwa yeye alitekeleza tu na matokeo yake ni Kikwete ndani ya Ikulu. Kama hasemi basi wimbo utabaki pale pale!"
Taasisi unatupotezea lengo! Typical of Rostam Aziz tactics za danganya toto. Unamwingizaje Mwakyembe kwenye ujinga huu? Mwakyembe continues to be our hero, mtake msitake! Unachanganya yai viza na maziwa? Mwakyermbe kakosa nini? Ni hizi accusations za kijinga za magazeti ya huyo fisadi Rostam?Haya ndio Maswali CCM wajibu na KIGODA na Mwakyembe. Sio kutupa viini macho vya KIKABURU na UFISADI mtupu
Taasisi unatupotezea lengo! Typical of Rostam Aziz tactics za danganya toto. Unamwingizaje Mwakyembe kwenye ujinga huu? Mwakyembe continues to be our hero, mtake msitake! Unachanganya yai viza na maziwa? Mwakyermbe kakosa nini? Ni hizi accusations za kijinga za magazeti ya huyo fisadi Rostam?
what is the matter with tanzanians? Why do we always take the same bait? Rostam anaiba, wenzake wako mahakamani, he is scot-free halafu anatunga ngonjera za uongo against serious tanzanian politicians: Sitta ameforge risiti za dawa, sitta anatumia magari ya bunge kuwahudumia vimada wake, mwakyembe anaiba maji ya dawasa, selelii anatukana waislamu, mwakyembe ana mgongano wa maslahi n.k. And we believe him sheepishly! Mmesahau nini ? Si ni huyu huyu rostam aliyevunja miiko yetu yote ya uwajibikikaji kwa kumpa spika wa bunge msekwa uenyekiti wa vodacom? Akatumia magazeti yake kuzima hoja ya mgongano wa maslahi, leo analeta mgongano wa kimaslahi kwenye kampuni ambayo haikushiriki kwenye tenda husika na wala haijaanza kazi, and yet you believe this corrupt iranian?
Mkuu,
Kesi ziko mahakamani tusubiri sheria ifuate mkondo wake - CCM Oyee!
Should the all these contributions of wana JF be taken seriously. I mean what will happen siku tukimpa invisible au Mwanakijiji au mshiiri au bubu au msemakweli au mzalendo au steveD au yoyote humu nchi.
Jamani yangu macho na masikio mambo yatakuwa haya haya au mabaya zaidi. Tusikae tu kuongea na kusubiri mambo ya badilike yenyewe. Tunasubiri nini, nafasi zetu za kula siku tukipata vyeo au tunasubiri kufa na maneno yetu kinywani.
Kinachotakiwa sasa ni kuorganise some kind of action. JF itusaidie kwa hilo, kuorganise a concrete opposition action, open and transparent ambayo itasaidia kufichua na kuhamasisha umma kuhusu ufisadi. Na hii ndiyo itapeleka Tz kwenye next level, ile ya civil disobidience kama nchi za wenzetu, civil disobidience inayotosha kumfanya rais ajiuzulu.
Tusisubir hadi tuanzishe vyama vya siasa. Kwanza haviko effective kuleta mabadiliko. Kila mtu aanze sasa. Baadhi yetu (mmoja mmoja) tunaweza kupoteza maisha, ndiyo, lakini hiyo itakuwa ni sadaka itakayosaidia nchi. Na damu ya mtu haipotei bure. Sijapata bado clear idea of how this course of opposition action and civil mobilisation inavyoweza kufanywa, lakini discussions humu JF zingelenga kuchangia mawazo ya kuelekea huko.
We should be discussion on what to do, on solutions. Hiyo ndio itaonyesha nia yetu hasa ya kubadilisha nchi hii. la sivyo tunapiga tu kelele kwa sababu haujapa ulaji (wa kifisadi), siku tukiupata tutanyamaza kimya kama sio sisi.
shishye
Hakuna mtu wa kuleta mabadiliko yeyote ya maana.....hizi zote ni njaa tu....kelele utapiga ukiwa nje ya system,lakini ukishaingia its whole different story!!!!jamani maisha yetu ya kibongo mnayajua...eti uchungu na nchi yenu...thubutu!!!!!we mwambie Slaa na wenzake kama yeye kama wanasikia uchungu kwamba posho wanayopata ni nyingi basi sehemu ya posho waigawe kwa masikini au wenye matatizo kama hayo ,uone atakavyokutolea macho!!!.....ukipata nafasi kula tu taratibu ndugu yangu una ndugu,jamaa,marafiki nk wanakusikilizia uwasaidie!!!!HII NDIYO HABARI
Ndo Bunge linafungwa leo! Session hii hakijaeleweka mpaka naandika.Hivi Serikali imeshamaliza hili suala la Kagoda? Naomba wabunge mjitahidi kikao hiki tupate ukweli.
Mkuu wengine tulidhani wewe ni Invisible? Hawa jamaa watajaribu kutupa jiwe kwenye kichaka kisha wasubiri kuona kitakachotoka; dawa ni kubaki hukohuko!Ndo Bunge linafungwa leo! Session hii hakijaeleweka mpaka naandika.
Wasiwasi wangu ni Rostam baada ya 'kummaliza Mengi' atakuja kwa Invisible. Nakusanya data zangu mapeeema!
Safari ndio inaanza hivi...
Wasiwasi wangu ni Rostam baada ya 'kummaliza Mengi' atakuja kwa Invisible. Nakusanya data zangu mapeeema!
Safari ndio inaanza hivi...
Oh,Mkuu wengine tulidhani wewe ni Invisible? Hawa jamaa watajaribu kutupa jiwe kwenye kichaka kisha wasubiri kuona kitakachotoka; dawa ni kubaki hukohuko!
Wasiwasi? Hapana, not to me! Lakini ninachojua, ngoma inogile. Waziri mkuu anaelekea kupoza hii issue bungeni... Serikali haijamtuma YEYOTE na anayeongea anukuliwe kama YEYE na si Serikali.Mkuu wasi wa nini tena? na RA kammalizaje Mengi hapa.....to me issues ndo kwanza zinaanza!
Kwa wapambanaji, hakuna raha ukiwa na information za uhakika ukajua ukweli na wanaotaka kujua ukweli huo wakajulishwa wakajua na kuelewa na kuitetea kweli hiyo, then hata ukinyongwa, ukionewa au kufanyiwa anything na vyombo vya sheria au anybody.........ni ushujaa wa hali juu kwako binafsi na kwa jamii elewa........hiyo inaitwa kufa kwa ajili ya wengi....kam Jesus alivyofanya (for belivers)
So mkuu you have nothing to worry, nothing to loose....kanyaga twende!!
ROSTAMU AZIZI ni lazima afikishwe mahakamani kujibu tuhuma za wizi wa fedha za umma kupitia kampuni anayoimiliki ya Kagoda Agricultural.
Sivyo MH Jakaya Kikwete, kama ulivyo kubali Lowassa afe ili wewe upone ndivyo hivyo hivyo inakubidi umwache RA afe ili wewe upone. vinginevyo utaondoka na mpenzi wako RA.