Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Mkuu, kufunga safari hakuepukiki, lakini huu utafiti hapa utaniongoza kwenye maeneo tajwa ili nikajiridhishe.Mkuu ushauri funga safari fika mwenyew uone kama kweli upo serious na unachosema kahama kuna fursa nyiing sana
Hiyo ndio itafuata mkuuUsikae ukahadithiwa hapa panda basi nenda uone mwenyew
maeneo yapi ya mji na bei za kiwanja vipi mkuu?Kahama
Una uzoefu na bei za viwanja boss?Kahama kama kuna uhitaji zaidi
Maeneo yapi boss, na bei ya viwanja ikoje?
Bei ya viwanja ikoje bossKahama
Nina kiwanja kahama kiko nyahanga bei ni 20mlBei ya viwanja ikoje boss
Acha kumpotosha, kahama Kuna lodge kama utitiri... Kahama lodge ya 10,000 ukija dar bila 30000 hupatiKahama