Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Wapuuzi sana hawa polisiccm mahali haki kuwa na fujo za aina yoyote ile bali furaha tele ya kuwa na mgombea wao. Polisiccm wakanuna!
Mpuuzi ni ewe unayeweka propaganda.
 
tatizo hao watu hawakuja kwa hiyari yao walikodiwa kutoka machimbo ya mwime na mwabomba hawa watu wasiokuwa wenyeji wa kahama wangeweza kufanya lolote na kutokomea, kilichofanyika ni kwa usalama wa lissu mwenyewe na mali za watu, hiyo hotel ingechomwa moto usiku siwangesema kahujumiwa
 
Another rubbish kutoka kwa mashoga, wewe kazi yako ni ku-paste and copy bila kuwa na uelewa wowote wa kuangalia habari. Ukiona tu unaleta hapa unafikiri wote ni failures kama wewe.
 
Oohoo,punguza k.vant
 
Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi ndiyo adui mkubwa wa hawa mafisiem na wao wanajua hivyo na ndiyo sababu wanavihofia sana na hawataki hata kuvisikia.
Katiba haitungwi kama peremende na mataahira.
 
Angalia usije ukaenda kwenye fujo za wahuni wa Lissu utabakwa dada kuwa makini.
Wapuuzi kama wewe ndo wanaamin Lissu anapendwa na wahuni, inabidi mjue kuwa Lissu anapendwa na watu wenye akili timamu na kazi zao, wengine tunadiliki kuacha shughuli zetu za kiofisi ili twemde kwenye mikutano yake na kumshangilia alafu mpuuzi kama wewe na nzi wenzio wa kijani mnakuja kujipa moyo kuwa Lissu anapendwa na wahuni. Shame on you CCM!!
 
Majungu hayo!
 
Kuna maccm yanadhani watu wa mitandaoni hatuna vichinjio, kwa taaraifa yenu tunavyo na tunasubiri kumchinja huyo muhutu kutoka chato.
 
Shame on you because you are a coward, all your plans are known.
 

Msitishike maana hizo ni kampeni pia na hiyo inawainua.
By the way ni maagizo kutoka kwa mkurugenzi mahera wa nec.
 
Reactions: BAK
Piga tu hao wavunja sheria, hakuna budi itabidi tu watii sheria kwa shuruti sasa
 
Shame on you because you are a coward, all your plans are known.
Sasa haka kakingereza kako ka uchochoroni ndo katawaongezwa uhalali na kupendwa na wananchi wenye kujielewa. Mbuzi kama ninyi ndo mipango yenu kila siku inajulikana na kugonga mwamba.
 
Hii sio sawa ,ndugu zangu vyombo vya ulinzi jitahidini kuwa makini kipindi hiki wakati naambiwa kumuweka kwenye maombi ,mh IGP mwanzo sikuelewa ,lakini mungu ni shaidi mh IGP Nimemuombea Sana mpaka mda huu
 
On your dreams mate. Anza wewe kujaribu uone cha moto. Tanzania sio ya kuchezewa mark my words!
Sasa unatishia nani? Kwani hao polisi wana kinga gani zaidi ya hizo silaha zetu? Isitoshe hata hao askari wana ndugu zao watakaoathirika na matendo yao maovu!
Povu zako zote hapa zinategemea polisi na silaha zetu wala siyo matakwa ya wananchi!
 
Reactions: BAK
Wameyataka wenyewe ya kumkabidhi Nchi mtu ambaye hakustahili kukabidhiwa hata nyumba kumi kumi mtaani. Sasa inakula kwao wanabaki kuwategemea polisiccm na tumeccm ili kung'ang'ania madarakani.
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…