Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Wananchi wana mahaba na Lissu. Hawambiwi wala hawasikii
 
Acha wapigwe tu. Tunajua anachukua wahuni toka Kahama kuwapeleka Chato ili wakawafanyie uhuni wanachato.
Wewe mchawi, unawaza wewe then unayafanya mawazo yako yawe ya wengine,pimbi wewe.
 
Reactions: BAK
We kima, kwani hujui kuwa tarehe ya uchaguzi bado au??, siamin kama ccm imechukua akili yako kiasi umepoteza hadi kumbukumbu!!
Wewe ni binadamu na mimi ni kima umefurahi sasa? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kima mwenyewe humfahamu umezoea kukariri tu aibu!

Officially ignored.
 
Waambie kesho chato ndio tunabeba wote hadi shangazi zake kwa upendo na haki wanatupa kura zao.
 
Reactions: BAK
Mbona hayo maanadamano hafanyi huko.ikungi ambako ndo kwao?
Yeye anataka watoto wa wengine ndo wapate shida?
Kwani akiwambia wasambae nani atamzuia
 
Hawa polisi wanafikirisha sana, hapakua na haja ya kutumia nguvu au kuwapiga wananchi mabomu, hapo wakiulizwa watasema wanalinda usalama wa Lissu dhidi ya wananchi
Ukimuacha mtu avunje sheria eti hana madhara ipo siku ataona ni haki kuvunja sheria na kumzuia itakua shida,
Acha wapigwe wajue sheria ni lazima ifuatwe na wasidanganyike na huyo mbelgiji baada ya uchaguzi anatimka nyie mnaozea jela au mmevunjwa miguu.
 
Wameingiwa woga mkubwa maccm. Hawaamini kile chama walichodai kimeshakufa kuvuta kuwa na uwezo wa kuvuta umati mkubwa kama huu.
hiki ndo kinawakera wakoloni wa lumumba
 
Huu nadhani ni mpango kabambe wa kishetani wa kuwatisha wananchi wasihudhurie mikutano ya mkombozi Mh. Tundu Antiphas Lissu. Kadiri watu wanavyozinduka na kuutambua uovu wa serikali hii ya awamu ya tano ndivyo viti walivyokalia hawa madikteta uchwara vinavyozidi kupata joto. Tarehe 28/10/2020 inavyozidi kusogea ndivyo joto hilo linavyozidi kuongezeka maradufu na muda si mrefu hivyo viti hawataweza kuvikalia tena...Shime wazalendo tusirudi nyuma, wameshalegea hawa, kuwaangusha ni kama kum-sukuma mlevi wa pombe!


Your browser is not able to display this video.

Jamani CCM (chama cha mafisadi) roho zinawauma kweli kweli!​
 
Hivi ni sahihi watu wajae na maandamano eneo la hoteli? Kwanini wasingemsubiria sehemu ya uwanja Wa kampeni?

Kwenye hotel kuna kuwa na watu wengi sana wanaolala hapo aina tofauti, je hayo makelele yao ni sahihi?

Tufanye siasa tuache uchokozi Wa kutafuta huruma
 
Mngeanza ukombozi huko mnakoosha vibibi vizee. Tanzania tupo salama na yeyote anayeleta ujinga atakiona cha mtema kuni.
 
Wangewaacha tu usiku ukiingia watajiondokea wenyewe
 
Wangewaacha tu usiku ukiingia watajiondokea wenyewe
Ni ujinga tu, wakitaka wafikie ofisi za chama za mkoa au wilaya ili waepushe kusumbua wateja kwenye biashara za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…