Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi wana mahaba na Lissu. Hawambiwi wala hawasikiiViolence Alert Tanzania Election
"Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA"
Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto.
Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa Hospitalini
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA, Tumaini Makene ameandika hivi; Very sad! Polisi Kahama, wanatumia silaha, yakiwemo mabomu kuwatawanya wananchi wa mji huo waliokuwa wanamsindikiza kwa amani Mgombea Urais wa JMT wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwenda hotelini baada ya mkutano wa kampeni alioutumia kuwasalimia maelfu ya wanaKahama!
Wewe mchawi, unawaza wewe then unayafanya mawazo yako yawe ya wengine,pimbi wewe.Acha wapigwe tu. Tunajua anachukua wahuni toka Kahama kuwapeleka Chato ili wakawafanyie uhuni wanachato.
Wewe ni binadamu na mimi ni kima umefurahi sasa? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kima mwenyewe humfahamu umezoea kukariri tu aibu!We kima, kwani hujui kuwa tarehe ya uchaguzi bado au??, siamin kama ccm imechukua akili yako kiasi umepoteza hadi kumbukumbu!!
Waambie kesho chato ndio tunabeba wote hadi shangazi zake kwa upendo na haki wanatupa kura zao.Violence Alert Tanzania Election
"Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA"
Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto.
Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa Hospitalini
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA, Tumaini Makene ameandika hivi; Very sad! Polisi Kahama, wanatumia silaha, yakiwemo mabomu kuwatawanya wananchi wa mji huo waliokuwa wanamsindikiza kwa amani Mgombea Urais wa JMT wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwenda hotelini baada ya mkutano wa kampeni alioutumia kuwasalimia maelfu ya wanaKahama!
Ukimuacha mtu avunje sheria eti hana madhara ipo siku ataona ni haki kuvunja sheria na kumzuia itakua shida,Hawa polisi wanafikirisha sana, hapakua na haja ya kutumia nguvu au kuwapiga wananchi mabomu, hapo wakiulizwa watasema wanalinda usalama wa Lissu dhidi ya wananchi
Wameingiwa woga mkubwa maccm. Hawaamini kile chama walichodai kimeshakufa kuvuta kuwa na uwezo wa kuvuta umati mkubwa kama huu.
Busara yao huwa ndogo Sana,cheki mfano ishu ya kiluvya...WHY?
..Hao watu usiku ukizidi kuingia wataondoka wenyewe.
..Polisi wetu hawana akili kabisa.
Huko si kusimamia amani, bali ni kuzima moto kwa petrol.Nawapongeza polis kwa kazi nzuri ya kusimamia amani
Kampeni mwisho saa ngapi kwani..WHY?
..Hao watu usiku ukizidi kuingia wataondoka wenyewe.
..Polisi wetu hawana akili kabisa.
Wangewaacha tu usiku ukiingia watajiondokea wenyeweHivi ni sahihi watu wajae na maandamano eneo la hoteli? Kwanini wasingemsubiria sehemu ya uwanja Wa kampeni?
Kwenye hotel kuna kuwa na watu wengi sana wanaolala hapo aina tofauti, je hayo makelele yao ni sahihi?
Tufanye siasa tuache uchokozi Wa kutafuta huruma
Kampeni mwisho saa ngapi kwani
Ni ujinga tu, wakitaka wafikie ofisi za chama za mkoa au wilaya ili waepushe kusumbua wateja kwenye biashara za watuWangewaacha tu usiku ukiingia watajiondokea wenyewe
Police wakifanya kazi kwa kufuata Sheria na sio maagizo hakuna vurugu yeyeto itakayotokeaKampeni zinatakiwa ziishe saa 12 jioni hao wahuni na huyo kibaraka wanataka kuleta fujo tu.
Wafanyabiashara wamelalamika?Ni ujinga tu, wakitaka wafikie ofisi za chama za mkoa au wilaya ili waepushe kusumbua wateja kwenye biashara za watu
Kwahyo unataka mpaka walalamike?Wafanyabiashara wamelalamika?