Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Kwahiyo huu upuuzi ameuleta mkurugenzi?Unapingana na Mkurugenzi?
Acha kumshushia hadhi mkurugenzi Bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania mpendwa Anderson Msumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huu upuuzi ameuleta mkurugenzi?Unapingana na Mkurugenzi?
Hakuna stand inayojengwa mpaka Sasa huyo Samia wako kakuingiza chakaAsante Samia,
Asante Kahama,
Tukiwa hoi Sasa kwa uchovu na hakuna wa kutupa poleIpo siku tutarudi kufikiri kwa vichwa vyetu
😀😀😀Uwe unaelewa...
Kahama sio China ni Tanzania na Watanzania wanaishi, suala la ujenzi sio vuzi kwamba limejificha kwenye chupi, ujenzi ni kitu kinaonekana,hapa Kahama hakuna ujenzi unaoendelea wa stand wala soko hebu acheni porojo za tangu 2014 mpaka sasa.
Jengo la halmashauri limejengwa kwa pesa za ndani limeshakamilika, majengo ya hospital yanaendelea kujengwa yanakaribia kukamilika nazo ni pesa za ndani na hayajaanza kujengwa leo, Sasa mnapoanza kuleta porojo za kusifiana na huyo Bibi yenu wa Makunduchi ndio tunawashangaa nyie chawa siku hizi mnajiita nyuki.
naamini 100%Inasadikiwa Mkurugenzi wa Kahama Town Council ndio Mkurugenzi bora Tanzania kwa sasa.