Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Lofa wewe, Hilo jengo la OPD unafahamu limeanza kujengwa lini na Nani alizindua pamoja na jengo la halmshauri?
Unafahamu linajengwa kwa pesa zipi?

Hakuna stand imeanza kujengwa Kahama mbwa wewe uwe unaelewa.
2020 stand ilichimbwa na kuwekwa mawe na kifusi,ccm wakaja na kusema wamejanga stand wakti stand haijajengwa
 
Halafu ulivyo lofa hapo umeandikiwa ni mapato ya ndani ya halmashauri na bado unaleta ngonjera za kumsifia kahaba wako kutoka Makunduchi nyamafu wewe
Kama ni Mapato ya ndani kwani Arusha haijawazidi? Kama mna uchumi mkubwa kwa nini visi reflect kwenye mapato?
 
Lofa wewe, Hilo jengo la OPD unafahamu limeanza kujengwa lini na Nani alizindua pamoja na jengo la halmshauri?
Unafahamu linajengwa kwa pesa zipi?

Hakuna stand imeanza kujengwa Kahama mbwa wewe uwe unaelewa.
Kubwa la malofa ni wewe,kama limeanza kujengwa zamani kwa nini halikumalizika hiyo zamani? Ulitaka akumalizie nani?

Rubbish 🚮🚮
 
Kubwa la malofa ni wewe,kama limeanza kujengwa zamani kwa nini halikumalizika hiyo zamani? Ulitaka akumalizie nani?

Rubbish [emoji706][emoji706]
Kwahiyo limeshamalizika we lofa?
La halmashauri si uliona limemalizika
Kwahiyo jengo likiwa linaendelea kujengwa likaisha kipindi flani ndio kahaba wako anakuwa amesababisha?
Nitakuambia wewe lofa una bahati nimeghairisha
 
2020 stand ilichimbwa na kuwekwa mawe na kifusi,ccm wakaja na kusema wamejanga stand wakti stand haijajengwa
Yale mawe wakayaondosha sijui waliyapeleka wapi mpaka leo majibu unaambiwa tunasubiri pesa world bank wameshaapprove
Ngonjera zilianza enzi za Kikwete akaja Magufuli akatamka stand ianze kujengwa tukaona holaaaa Leo Hawa uvccm wanaleta hadithi wakati tupo Kahama hapa hakuna stand Wala soko.
Barabara ya Kuelekea Dodoma ya Kahama ndio imewekwa lami uchwara sijui Kama zinafika kilomita tatu zile.
Jengo la halmashauri limejengwa kwa pesa za ndani sio serikali kuu, majengo ya hospital yanajengwa kwa pesa za ndani.
Na yameanza kujengwa kabla huyu mama hajawa Rais na Magufuli aliyazindua halafu leo wanatuletea ngonjera sijajua wanalipwa, wanapoteza kumbukumbu, hawajielewi, wanarogwa au makusudi tu.
 
Uvivu wa kufikiria. Dkt Magufuli kazi yake tuliiona kwa zaidi ya miaka 20, tukamuamini na akaja kuwa rais na akatutendea yaliyo mema sembuse Mama yaani hana rekodi yeyote mnampamba eti kafanya kazi, muacheni kumdanganya danganya kwa uongo wenu
Hata mimi kuna watu huwa nawashangaa huyu bibi alishawahi kuwa na rekodi gani ya kiutendaji? Hamna kitu!
 
View attachment 2045659

===
Kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Industral Park " ikiwa ni pamoja na mitaro yake pamoja na taa za barabarani,

Pili, Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stendi ya kisasa ya mabasi kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stendi kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 50 ya mikoani kwa kila siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo kiasi ambacho wanakahama wanatamani Rais Samia Suluhu asinga'tuke madarakani,

Tano, Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini kilometa 10.5 pamoja na mitaro yake pamoja na taa za Barabarani .
Asante Samia,

Asante Kahama,
 
Unapingana na Mkurugenzi?
Uwe unaelewa...
Kahama sio China ni Tanzania na Watanzania wanaishi, suala la ujenzi sio vuzi kwamba limejificha kwenye chupi, ujenzi ni kitu kinaonekana,hapa Kahama hakuna ujenzi unaoendelea wa stand wala soko hebu acheni porojo za tangu 2014 mpaka sasa.
Jengo la halmashauri limejengwa kwa pesa za ndani limeshakamilika, majengo ya hospital yanaendelea kujengwa yanakaribia kukamilika nazo ni pesa za ndani na hayajaanza kujengwa leo, Sasa mnapoanza kuleta porojo za kusifiana na huyo Bibi yenu wa Makunduchi ndio tunawashangaa nyie chawa siku hizi mnajiita nyuki.
 
Back
Top Bottom