Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
- Thread starter
- #121
Mama anatisha sanaMiradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%
Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,
Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,