Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Yote ilikuwa kwenye mipango ya Magufuri , na alikuwa ameanza na sehemu nyingine mf Korogwe , Singida , Dar , Msamvu - Moro , Dodoma , Kigoma , Na Mwanza + Geita + Moshi + ambayo zilikiwa on progress pia , ili akija kujenga kahama wale wapuuz wa ukabila wasipate hoja so hatujaona ubunifu wa Mama , afanye kile alichoshindwa Magu mf kuruhusu mzunguko wa ela mtaani , kuto ajira ( sio kutangaza maana hata Magu alikuwa anatangaza ) , kuruhusu siasa ya usawa ( demokrasia )
Kwa mpango huo hata Magu alikuta tayari miradi ya Sgr na flyovers ikiwa tayari imeanzishwa na Kikwete na yeye akaendeleza tu.
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Makusanyo ya kodi za manispaa,shuru wa mashine za malunga na kagongwa kwa siku inazidi 15m.kwa siku malori zinatoka lori zaidi ya 15 zenye mchele ambapo lori moja ushuru ni 420,000sh.
Bado fuso zenye kubeba mchele wa kwenda mikoani nazo kwa siku zinaweza kutoka 10..nimewekaza kahama kwahiyo kwenye mazao kwahiyo najua mzunguko ulivyo
Daaah
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Kilà mmoja anaweza kuwa Rais kwa biashara hii ya kuitwisha mzigo Wa madeni kwa kujipa ujiko any body can do hivyo tusifurahie sana huko mbele tutateseka kama siyo kuuza Uhuru wetu na ardhi yetu.
 
Kilà mmoja anaweza kuwa Rais kwa biashara hii ya kuitwisha mzigo Wa madeni kwa kujipa ujiko any body can do hivyo tusifurahie sana huko mbele tutateseka kama siyo kuuza Uhuru wetu na ardhi yetu.
Madeni gani?
 
View attachment 2045659

===
Kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili, Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano, Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Serikali inatoa
 
Kwo hakuna kama samia inamaana kamzidi hadi mzee mwendazake??? Jamani kuweni msitari mmoja ili tuzijue rangi zenu make hatuwaelewi
 
Back
Top Bottom