KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Kwa mpango huo hata Magu alikuta tayari miradi ya Sgr na flyovers ikiwa tayari imeanzishwa na Kikwete na yeye akaendeleza tu.Yote ilikuwa kwenye mipango ya Magufuri , na alikuwa ameanza na sehemu nyingine mf Korogwe , Singida , Dar , Msamvu - Moro , Dodoma , Kigoma , Na Mwanza + Geita + Moshi + ambayo zilikiwa on progress pia , ili akija kujenga kahama wale wapuuz wa ukabila wasipate hoja so hatujaona ubunifu wa Mama , afanye kile alichoshindwa Magu mf kuruhusu mzunguko wa ela mtaani , kuto ajira ( sio kutangaza maana hata Magu alikuwa anatangaza ) , kuruhusu siasa ya usawa ( demokrasia )