Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Mkuu unataka tena tuanze kutafuta dikshenari za wizara ya fedha?

Kama unaona vipo sawa kitoe kimojawapo, hiyo equation itaendelea kubaki sahihi...

Ngoja nikurahisishie...

Bajeti ya serikali = Mapato ya ndani + Fedha za wahisani
Bajeti ya serikali= Mapato ya ndani + Mikopo + fadhila
 
View attachment 2045659

===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Kahama kumekucha aise, Hongera Sana Mhe Rais kwa hili
 
Makusanyo ya kodi za manispaa,shuru wa mashine za malunga na kagongwa kwa siku inazidi 15m.kwa siku malori zinatoka lori zaidi ya 15 zenye mchele ambapo lori moja ushuru ni 420,000sh.
Bado fuso zenye kubeba mchele wa kwenda mikoani nazo kwa siku zinaweza kutoka 10..nimewekaza kahama kwahiyo kwenye mazao kwahiyo najua mzunguko ulivy

Mkuu hii miradi ni ya Rais mwenyewe "ova"
 
Kwanini usiutumie ubunifu wako kuisaidia CHADOMO
Huo ndio ujinga wako sasa kila kitu we unatazama kichamachama angalia kwa mapana " broader picture" usiwe mjinga mi naongea kama mlipa kodi. Tuna watu wa ajabu na hovyo sana ndio maana tunapiga maktime tu hapa.
 
View attachment 2045659

===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Wananchi tunamuunga mkono,Rais wetu asilimia [emoji817],Taarifa nzuri sana hii.
 
Waulize chawa wenzako wa kipindi Cha Magu Wana Hali gani sasa hivi.
baada ufurahie maendeleo ya taifa , upo busy kweny kamati ya roho mbaya kuhakikikisha unawaroga usiowapenda [emoji23]
 
Khaaaa,

Ila Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,

Rais Samia anafanya mambo makubwa sana lazima tukubali,

Stendi ya Kahama ilikwama muda mrefu sana,

#MAMA CHAPA KAZI TUKO NA WEWE
Yote ilikuwa kwenye mipango ya Magufuri , na alikuwa ameanza na sehemu nyingine mf Korogwe , Singida , Dar , Msamvu - Moro , Dodoma , Kigoma , Na Mwanza + Geita + Moshi + ambayo zilikiwa on progress pia , ili akija kujenga kahama wale wapuuz wa ukabila wasipate hoja so hatujaona ubunifu wa Mama , afanye kile alichoshindwa Magu mf kuruhusu mzunguko wa ela mtaani , kuto ajira ( sio kutangaza maana hata Magu alikuwa anatangaza ) , kuruhusu siasa ya usawa ( demokrasia )
 
Bajeti ya serikali= Mapato ya ndani + Mikopo + fadhila
Hakuna fadhila dunian vile viongoz wetu hawataki kuweka wazi namna ya malipo ya hiyo misaada , yaan sio lazima ulipie cash ila unaeza kulip kwa kuweka mazingira sawa kwenye nchi yako kwa maslai ya mabeberu
 
Nchi bado ina wajinga wa kutosha kama mtu anaweza leta utumbo wa namna hii!
 
View attachment 2045659

===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Kwa viwango vya delivery, sidhani kama kuna Rais anaweza mfikia Samia so far .Wakati watu wanalia kupanda Kwa gharama za maisha lakini matokeo chanya yanaonekana.

Huku niliko barabara zinajengwa kila mahali kama hivi 👇

IMG_20211213_125027_271.jpg

IMG_20211213_125017_271.jpg

IMG_20211213_124749_717.jpg

IMG_20211213_124628_766.jpg

IMG_20211213_124625_723.jpg
 
View attachment 2045659

===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,

Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,

Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,

Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,

Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Vizuri sana, at least kahama sasa itakua KAHAMA
 
Hiyo stand inayotoa mabasi 100 ni ipi,acha kupiga debe za uwongo...kahama wanajenga kwa pesa za manispaa yao sio pesa ya samia,bladifakeni
Kwa pesa yao sio? Anaetoa maelekezo ya kwamba 60% ibakie kwa ajili ya maendeleo ni nani kama sio serikali?

Pili Manispaa ina pesa gani za kujenga miradi yote hiyo wakati mapato yao ya ndani hayazidi bil.10? Tumia akili wivu itakuua.
 
Back
Top Bottom