Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Uwe unaelewa...
Kahama sio China ni Tanzania na Watanzania wanaishi, suala la ujenzi sio vuzi kwamba limejificha kwenye chupi, ujenzi ni kitu kinaonekana,hapa Kahama hakuna ujenzi unaoendelea wa stand wala soko hebu acheni porojo za tangu 2014 mpaka sasa.
Jengo la halmashauri limejengwa kwa pesa za ndani limeshakamilika, majengo ya hospital yanaendelea kujengwa yanakaribia kukamilika nazo ni pesa za ndani na hayajaanza kujengwa leo, Sasa mnapoanza kuleta porojo za kusifiana na huyo Bibi yenu wa Makunduchi ndio tunawashangaa nyie chawa siku hizi mnajiita nyuki.
😀😀😀
 
Back
Top Bottom