Kahama: Rais Samia amwaga miradi

Munaishiaga kutoa ahadi tu, na sio kutekeleza kile mlichoahidi.

Tazama machinjio ya vingunguti, mpaka leo ni miaka mingapi imepita (tangu mulipo ahidi) na haijakwisha?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Munaishiaga kutoa ahadi tu, na sio kutekeleza kile mulicho ahidi.

Tazama machinjio ya vingunguti, mpaka leo ni miaka mingapi imepita (tangu mulipo ahidi) na haijakwisha?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Watakuambia mama katoa pesa,wakati ni pesa ya serikali wakti kwao mchambawima hakuna chochote
 
Hangaya mjanja Sana anamwaga mihela sukumagang,maana anajua huo ndo mtaji wa kuingia Ikulu.

Ukijitenga na sukumagang,
Ukijitenga na JPM.
Unasngukia pua asubuhi siyo jioni.

Au nasema uongo ndugu zangu!
Hagaya hana ukanda wala ukabila mkuu wangu,
 
Bajeti ya serikali = Mapato ya ndani + Misaada toka nje + Makusanyo ya kodi
sijakuelewa unamainisha nn unaposema mapato ya ndani na kodi.kumbe kodi si mapato ya ndani?we need to know what are sources of gvt revenues?
 
Khaaaa,

Ila Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,

Rais Samia anafanya mambo makubwa sana lazima tukubali,

Stendi ya Kahama ilikwama muda mrefu sana,

#MAMA CHAPA KAZI TUKO NA WEWE
 
Upumbavu na ujinga wa wananchi ndio mitaji ya Wanasiasa.. Shame on ccm.
 
sijakuelewa unamainisha nn unaposema mapato ya ndani na kodi.kumbe kodi si mapato ya ndani?we need to know what are sources of gvt revenues?

Mkuu unataka tena tuanze kutafuta dikshenari za wizara ya fedha?

Kama unaona vipo sawa kitoe kimojawapo, hiyo equation itaendelea kubaki sahihi...

Ngoja nikurahisishie...

Bajeti ya serikali = Mapato ya ndani + Fedha za wahisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…