ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #761
Mjini ni kuanzia mjimwema hadi kibena,njia yote along songea road ni mjiniNjombe mji umejengeka wapi? mjini hakujulikani ni wapi, nyumba za kawaida asilimia 90 ni watofali ya kuchoma, wapi kumejengeka mjimwema ambako nyumba za kawaida sana, tuambie njombe mjini ni wapi?
😂😂😂😂 Hizo ni gari za mabwenyenye wanakuja gulioni kahama kuchuma then wanasema zao,that shithole town called kahama is not liveableMimi sikua najua magari ya kifahari mkuu!jaman gari za kifahari zipo kahama jamani!jamani jamani!ptu!
Sawa!😂😂😂😂 Hizo ni gari za mabwenyenye wanakuja gulioni kahama kuchuma then wanasema zao,that shithole town called kahama is not liveable
We kaksai wa kisukuma rudi post no.29 huko utapata majibu ya je Njombe kukoje.wenzako wamekimbia badala ya kuleta picha wanabwabwaja,huko Khm ndio kuna kagorofa 1 ka nssfNjombe magorofa ndio hayo tu tena ni hoteli na jengo moja la nssf, Njombe ukiwa hata na ki IST unaingizwa kwenye listi ya matajiri, kuna jamaa yangu alinunua VEROSA aisee, mji mzima wanamuheshimu, huko ni kijijini
Hahaaa mjitadi mtafanikiwa mkuu, ila safari ni ndefu sana kufikia mnapotamani kuwepo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Yaani umewahi kuviona hivyo vigorofa sijui 2 au 3 huko kahaba mkuu? That is the difference,na usikinganishe nyumba za Dar na Njombe ila hizi unazoziona ziko bomba kuliko huko khm
Hahahaaa ni kweli usemalo hawa jamaa walichojaaliwa kiukweli ni ardhi ya rutuba pamoja na uoto wa asili mana wanamisitu ya miti mingi sana kwa zao la mbao.Njombe magorofa ndio hayo tu tena ni hoteli na jengo moja la nssf, Njombe ukiwa hata na ki IST unaingizwa kwenye listi ya matajiri, kuna jamaa yangu alinunua VEROSA aisee, mji mzima wanamuheshimu, huko ni kijijini
Sasa mtu anapata wapi jeuri ya kufananisha miji hii mbona haiingii akilini.
kweli kabisa , hao wanaoitwa matajiri wa kikinga njombe wa hela za uchawi wako hovyo wanashindia yebo yebo na makoti yaliyochanika. Njombe kuna vituko sanaHahahaaa ni kweli usemalo hawa jamaa walichojaaliwa kiukweli ni ardhi ya rutuba pamoja na uoto wa asili mana wanamisitu ya miti mingi sana kwa zao la mbao.
Ila kuna baridi sana tena ile baridi kavu inayopausha ngozi na kuchana lipsi za midomo, huu mji hata kama uko na pesa utapauka kwa hali ya hewa tu.
Hahahaaa ni kweli usemalo hawa jamaa walichojaaliwa kiukweli ni ardhi ya rutuba pamoja na uoto wa asili mana wanamisitu ya miti mingi sana kwa zao la mbao.
Ila kuna baridi sana tena ile baridi kavu inayopausha ngozi na kuchana lipsi za midomo, huu mji hata kama uko na pesa utapauka kwa hali ya hewa tu.
Porojo za walioshindwa,za kuambiwa changanya na zakokweli kabisa , hao wanaoitwa matajiri wa kikinga njombe wa hela za uchawi wako hovyo wanashindia yebo yebo na makoti yaliyochanika. Njombe kuna vituko sana
Umeunga foleni ya kupiga noise bila ushahidi..hata Google imekosa picha za kahama the borrow pitNimepitia uzi huu nimegundua hata wanaoitetea kahama, si wakaaji wa mji huo.
Ningeuona uzi wakati nikiwa hapo ningeweka picha muhimu za kahama halafu tukaona wanaotetea kijiji cha Njombe wanavyopoteana.
Iringa yenyewe ukitoa haya majengo machache yaliyosongamana hapa mjini, haina cha ziada kwa kahama.
Kule hata km una hela lazima upauke..!hakufai..yes wana aridhi nzuri sana!
Ramani na actual things on ground ni vitu viwili tofauti,huko ndiko jeuri inakopatikana mkuuSasa mtu anapata wapi jeuri ya kufananisha miji hii mbona haiingii akilini.
Walioshindwa huwa wana visingizio vingi na kulaumu hali
Baridi na kupiga pesa wapi na wapi?
Mind you Njombe makete Mbeya road iko inajengwa tena kwa asphalt standard
Njombe ludewa Manda mbamba Bay road inajengwa kwa asphalt
Njombe Lupembe to Ifakara road inajengwa to kwa surface dressing std
Makambako Njombe Songea highway inafanyiwa rehabilitation itakuwa fire
Njombe town roads ziko mbioni kujengwa chini ya ULGSP project ya world Bank ,vyote hivyo Khm itakuwa inaone kwenye video