Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwanza kaham Kuna viwanja vya kula bata vya kijanja wazee wa Ze fox sportbar,African loung,Club chiller n.k huko njombe kuna mshkaji wangu yupo anasema hajawahi kuona sehemu ya ajabu kama njombe ghorofa kaliona moja tu
 
í ½í¸í ½í¸í ½í¸....dah...ze fox ni í ½í¹í ½í¹í ½í¹ chillers nií ½í´¥í ½í´¥í ½í´¥í ½í´¥!
na weekend hii sipati picha patakavo waka.....

Ukimpeleka mtu alotoka njombe atabaki mdomo wazi watu wanavotumia pesa
 
Porojo nyingi za vijiweni,weka picha ya hiyo migorofa mingi ya tajiri wa bilions 🤭🤭🤭🤭
 
Kwanza kaham Kuna viwanja vya kula bata vya kijanja wazee wa Ze fox sportbar,African loung,Club chiller n.k huko njombe kuna mshkaji wangu yupo anasema hajawahi kuona sehemu ya ajabu kama njombe ghorofa kaliona moja tu
We kwa akili yako unaamini kuna mji unakosaga viwanja vya bata? Yaani kuwe na mahoteli ya viwango lounge and bars ndo zikosekane? Kuwa xriac bac unless umekopesha akili za huyo mshikaji wako
Si ajabu tulisema weka picha mbaweka bar,wazee wa dhahabu a k a borrow pit town
 
na weekend hii sipati picha patakavo waka.....

Ukimpeleka mtu alotoka njombe atabaki mdomo wazi watu wanavotumia pesa
Bata la ze fox ni km la dar tu!..ze fox jumatatj kwa jumatatu mkuu..nyomi km lote!..ss ukimuona mwenye nayo jank tu..dadek!
Sehemu classic sana!
 
Ndo maana ukiambiwa mgodi akilini unajua wanatumia sururu na Jembe. Geita, kahama na Tarime zimeendelea sana baada ya kuja uwekezaji wa GGM na Barrick. Hujafika ndo maana unaongea nadharia za darasan kua watu hawawekezi wanavuna na kuondoka uhalisia sio hivyo. Mie Njombe nimekaa na kahama, tarime na geita nimekaa impact ya ile migodi ni kubwa sana kutokana na uwekezaji wake wa trillion za pesa
 
Njombe ina majengo 30 ya gorofa 6 and above?labda kama unaweka mabweni ya NJOS, kituo cha afya uwemba hahaha
 
Njombe ina majengo 30 ya gorofa 6 and above?labda kama unaweka mabweni ya NJOS, kituo cha afya uwemba hahaha
Nimesema majengo kuanzia floor moja and above yako more than 30 but ya floor zaidi ya 6 yako 4
 
Impacts ipi mzee baba mnaongoza kwa umaskini huko? Hapa tunazungumza facts na ushahidi sio porojo
Weka picha tuone hayo maendeleo ambayo unayajua wewe tuu,mbona picha za Njombe zipo humu wapi kahama?
Miji ya nyanda za juu kusini iko mbele sana kimaendeleo kuliko huko migodini mnakoshinda kufukua mashimo
Tuko mbioni kuwa na manispaa za Mbozi(Vwawa+Mlowo),Tunduma,Mafinga,Njombe na Uyole any time ni ishu ya president tu kutia saini vigezo vimeshatimia
Sasa akina kahama sijui tarime ndo uchafu gani hata hospitali hakuna? Huko ni machimbo nothing else zaidi ya mashimo tu
 
Manzese gorofa 5 and above yapo zaid ya 20 kwa hiyo tuseme manzese umeipita Njombe hahahaha
Ingekuwa ni halmashauri ingekuwa sawa lakini sio hivyo
Mada ni Njombe vs kahama usihamishe magoli
 
Hujafika ndo maana unatoka povu. Mie siishi kahama Ila nimepita sana kikazi Njombe mpaka kesho nakuja hizo mbozi mpaka kamsamba kite nachakaza daily. Unaizungumzia kahama tarime kinadharia mie naizungumzia kahama Njombe tarime kiuhalisia ni Miji ambayo kila Mara napita. Kabla sijafika kigoma nilikua na picha kichwani tofauti na nilivyoiona
 
Impact ya k
Duh we jamaa kahama hakuna hospitali?
 
Njombe ya wapi unaongelea boss?
 
Boss acha matusi.. wazee wa njombe hawaendeshi hivyo vidudu.. kule wanaendesha landcruser, prado, na harrier na magari yote makubwa.

Harrier tena wanaenda nazo shamba kukagua misitu yao na chai.

Achana na wakinga na wabena.. nyodo zao zitakuua.

Kaulize kwanini wachaga wamekimbia kariakoo na wamewaachia wakinga.
Njombe magorofa ndio hayo tu tena ni hoteli na jengo moja la nssf, Njombe ukiwa hata na ki IST unaingizwa kwenye listi ya matajiri, kuna jamaa yangu alinunua VEROSA aisee, mji mzima wanamuheshimu, huko ni kijijini
 
Kweli kabisa.. Njombe ni mkoa wa 3 kwa uchumi mzuri baada ya dar, Kilimanjaro.
 
Anzisha mada Tarime vs Igawa ndio size yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…