Kahama VS Njombe/Mafinga

Unaongelea mkoa au mji wa njombe? Kuna njombe nyingine tofauti na hii πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Acha porojo leta gorofa zenye floor kuanzia tano ziwe kumi kwenda juu Hapo mkoa wa geita ,shinyanga ,kagera, simiyu, na mara ndo ujue njombe ipo moto ziwe ndani ya mkoa mmoja hatutaki vioja
Tatizo lako unalinganisha mkoa badala ya mji πŸ€”πŸ€­πŸ€— Shinyanga achana nayo huiwezi ngoja nikutoe tongotongo sasa
 
Acha porojo leta gorofa zenye floor kuanzia tano ziwe kumi kwenda juu Hapo mkoa wa geita ,shinyanga ,kagera, simiyu, na mara ndo ujue njombe ipo moto ziwe ndani ya mkoa mmoja hatutaki vioja
Shinyanga hiyo πŸ‘‡πŸ‘‡ebu post picha ya njombe kama hivi
 
Njombe yenyewe sasa inayopambwa na kusifiwa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Nawasaidia kupost πŸ€—πŸ€—πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡njombe yenyewe, kuweni serious na vitu mnavyosifia
 
Nawasaidia kupost πŸ€—πŸ€—πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡njombe yenyewe, kuweni serious na vitu mnavyosifia View attachment 3112794
Endelea kujitekenya na kucheka njombe haiwezi linganga na hivyo vimji uChwara vyenu ipo busy kutengeneza mji wa maana ambapo tayari walisha utarget toka kabla mkoa hauja tangazwa ulivotangazwa Kaz ikaanza
 
T

Tumekwambia leta hizo gorofa hadithi hatutaki picha za staili HiYo za njombe zimejaa Sana kwenye Uzi huu
Just compare these two towns πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni vituko yaani mbingu na dunia
Shinyanga πŸ‘‡

Njombe πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Endelea kujitekenya na kucheka njombe haiwezi linganga na hivyo vimji uChwara vyenu ipo busy kutengeneza mji wa maana ambapo tayari walisha utarget toka kabla mkoa hauja tangazwa ulivotangazwa Kaz ikaanza View attachment 3112810
Eti unataka tuposti jengo moja moja ili ufiche nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£sema unachotaka kuficha
 
Yaani njombe bado ni outdated town huwezi linganisha na modern town kwa uzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…