nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ubarikiwe asee...Nenda Kuna fursa Ila msipende kukariri,kule Mbarali ni chimbo la zamani Lina competition,uliza Wasukuma wenzako wakupeleke kwenye machimbo Mapya Ruvuma,Katavi,Rukwa,Lindi na pengine Morogoro na Kigoma.
Baada ya kunilazimisha niwapelekee moto Kwa kutumia chimbo Moja tuu la Ubaruku-Mbarali nimegundua kitu kipya.Yeah uko sahihi...
Huwezi kupata ashiki ya kulala na mkeo ili mzae kama una njaa kali...
Tunazaana kwasababu tuna uhakika wa kula leo na kesho...
Huko wateja wa Dar lazima wawepo, maana mna ardhi nzuri ila mumejikita kuimba kwaya ambayo connection ziko Dar...Baada ya kunilazimisha niwapelekee moto Kwa kutumia chimbo Moja tuu la Ubaruku-Mbarali nimegundua kitu kipya.
Mbeya Ina Mabasi mengi yanayoenda Dar kutokea Mbeya Mjini,Ubaruku,Kyela na Chunya/Makongolosi kitu ambacho hakipo kwenye Mikoa Mingi.
Pili nimebaini Chimbo jipya lenye Mabasi mengi na ushindani mkubwa limezaliwa ambalo ni Mbeya-Dodoma.
Kwa haraka haraka Kuna kampuni takribani 10 za Mbeya-Dom achilia mbali zinazoenda Arusha,Moshi,Mwanza na Singida.
Hili chimbo Nitafanya Uchunguzi Kuna biashara gani
Champion Express
Ngasere High Class
ABC Capitol
Shabiby Line
Kimbingiko
Machame
Tawassal
Mangare
Greenline
View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1811364309349396519?t=5-ekF6AGAMFKDX1Vmeuy3g&s=19
View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1761001565677056294?t=G_-WTYJjV8nPla9So4W8yw&s=19
View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1749719783329693721?t=DQDxAZa8_-QKhqTqcQe2vg&s=19
Yaani hii nchi wasukuma wakisikia kuna dhahabu sehemu, hata ukimtishia kumuua lazima ataenda tuNenda Kuna fursa Ila msipende kukariri,kule Mbarali ni chimbo la zamani Lina competition,uliza Wasukuma wenzako wakupeleke kwenye machimbo Mapya Ruvuma,Katavi,Rukwa,Lindi na pengine Morogoro na Kigoma.
Huko wateja wa Dar lazima wawepo, maana mna ardhi nzuri ila mumejikita kuimba kwaya ambayo connection ziko Dar...
Mtu kutoka Geita huko Dar hakuna maana kivile...
Akilima, mazao anauza Rwanda na Uganda...
Akichimba madini, masoko yapo hapo hapo...
Dar wanaenda kunywa mchuzi wa pweza labda, ndio maana route za dar sio nyingi.
Endelea kubwabwaja wenzio ndo wanakwenda umejua kunyanyua mapaa ndo mjiHiyo
Picha ya pili ni Lusaka, uharo wa juu ndio Makambako πππ kuwa na round -about sio kigezo cha kuwa mji wa maana π€π€
Harafu huo ushamba umejaa sana huko Usukumani ,watu wanaenda na nyumba za Kisasa wao wanashindana kunyenyua mapaa,ujinga na ushambaEndelea kubwabwaja wenzio ndo wanakwenda umejua kunyanyua mapaa ndo mji
Leta mijengo kama hii inayojengwa Kijijini kwenu hapo zilipo jaa njia za ngombe sio kutuletea MAPAA hapaHiyo
Picha ya pili ni Lusaka, uharo wa juu ndio Makambako πππ kuwa na round -about sio kigezo cha kuwa mji wa maana π€π€
ππππweka nyumba za matajiri tuzione si mnasema huku tumejaa maskini π€£π€£ nimeshapost nyumba zetu huku sisi maskini hazina kutu vitu vimetulia nasubiri nione makazi ya matajiri makambako na njombe yaliyojaa kutu afu migongo ya tembo na kutu juu πππEndelea kubwabwaja wenzio ndo wanakwenda umejua kunyanyua mapaa ndo mji
Kama kawaida yako kupost kajengo kamoja kamoja, sijui huwa unaficha nini π€π€π€π€Leta mijengo kama hii inayojengwa Kijijini kwenu hapo zilipo jaa njia za ngombe sio kutuletea MAPAA hapaView attachment 3115069View attachment 3115073View attachment 3115075View attachment 3115076View attachment 3115077
Leta uwekezaji mkubwa wa viwanda kama huu wa makambako sio unatuletea mapaa hapaLami Katoro iko sehemu ndogo, ukuaji ma mji ni mkubwa kuliko juhudi za miundo mbinu, lakini bado huwezi ukailinganisha Katoro na vitu vya ajabu kama makambako
ππππweka nyumba za matajiri tuzione si mnasema huku tumejaa maskini π€£π€£ nimeshapost nyumba zetu huku sisi maskini hazina kutu vitu vimetulia nasubiri nione makazi ya matajiri makambako na njombe yaliyojaa kutu afu migongo ya tembo na kutu juu πππ
ACha kujitetea angalia Hawa ndo matajir sio wanaonyanyua mapaa zilipendwa hizo Raman now zpo nyingi mno ushamba tuKama kawaida yako kupost kajengo kamoja kamoja, sijui huwa unaficha nini π€π€π€π€
Maneno ya mkosaji hayo π€£π€£π€£π€£umia taratibuACha kujitetea angalia Hawa ndo matajir sio wanaonyanyua mapaa zilipendwa hizo Raman now zpo nyingi mno ushamba tu
Huku tunataka vitu vya namna hii π π π€£ π€£
Watu wanafanya vitu, but kwa nini upost picha moja moja π€£ π€£ π€£ πLeta mijengo kama hii inayojengwa Kijijini kwenu hapo zilipo jaa njia za ngombe sio kutuletea MAPAA hapaView attachment 3115069View attachment 3115073View attachment 3115075View attachment 3115076View attachment 3115077