Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Yeah uko sahihi...

Huwezi kupata ashiki ya kulala na mkeo ili mzae kama una njaa kali...

Tunazaana kwasababu tuna uhakika wa kula leo na kesho...
Baada ya kunilazimisha niwapelekee moto Kwa kutumia chimbo Moja tuu la Ubaruku-Mbarali nimegundua kitu kipya.

Mbeya Ina Mabasi mengi yanayoenda Dar kutokea Mbeya Mjini,Ubaruku,Kyela na Chunya/Makongolosi kitu ambacho hakipo kwenye Mikoa Mingi.

Pili nimebaini Chimbo jipya lenye Mabasi mengi na ushindani mkubwa limezaliwa ambalo ni Mbeya-Dodoma.

Kwa haraka haraka Kuna kampuni takribani 10 za Mbeya-Dom achilia mbali zinazoenda Arusha,Moshi,Mwanza na Singida.

Hili chimbo Nitafanya Uchunguzi Kuna biashara gani

Champion Express
Ngasere High Class
ABC Capitol
Shabiby Line
Kimbingiko
Machame
Tawassal
Mangare
Greenline

View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1811364309349396519?t=5-ekF6AGAMFKDX1Vmeuy3g&s=19

View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1761001565677056294?t=G_-WTYJjV8nPla9So4W8yw&s=19

View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1749719783329693721?t=DQDxAZa8_-QKhqTqcQe2vg&s=19
 
View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1735736702797234461?t=ReOtJQmmOPTFonnbn79E4Q&s=19
20241004_121315.jpg
 
Baada ya kunilazimisha niwapelekee moto Kwa kutumia chimbo Moja tuu la Ubaruku-Mbarali nimegundua kitu kipya.

Mbeya Ina Mabasi mengi yanayoenda Dar kutokea Mbeya Mjini,Ubaruku,Kyela na Chunya/Makongolosi kitu ambacho hakipo kwenye Mikoa Mingi.

Pili nimebaini Chimbo jipya lenye Mabasi mengi na ushindani mkubwa limezaliwa ambalo ni Mbeya-Dodoma.

Kwa haraka haraka Kuna kampuni takribani 10 za Mbeya-Dom achilia mbali zinazoenda Arusha,Moshi,Mwanza na Singida.

Hili chimbo Nitafanya Uchunguzi Kuna biashara gani

Champion Express
Ngasere High Class
ABC Capitol
Shabiby Line
Kimbingiko
Machame
Tawassal
Mangare
Greenline

View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1811364309349396519?t=5-ekF6AGAMFKDX1Vmeuy3g&s=19

View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1761001565677056294?t=G_-WTYJjV8nPla9So4W8yw&s=19

View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1749719783329693721?t=DQDxAZa8_-QKhqTqcQe2vg&s=19

Huko wateja wa Dar lazima wawepo, maana mna ardhi nzuri ila mumejikita kuimba kwaya ambayo connection ziko Dar...

Mtu kutoka Geita huko Dar hakuna maana kivile...

Akilima, mazao anauza Rwanda na Uganda...

Akichimba madini, masoko yapo hapo hapo...

Dar wanaenda kunywa mchuzi wa pweza labda, ndio maana route za dar sio nyingi.
 
Nenda Kuna fursa Ila msipende kukariri,kule Mbarali ni chimbo la zamani Lina competition,uliza Wasukuma wenzako wakupeleke kwenye machimbo Mapya Ruvuma,Katavi,Rukwa,Lindi na pengine Morogoro na Kigoma.
Yaani hii nchi wasukuma wakisikia kuna dhahabu sehemu, hata ukimtishia kumuua lazima ataenda tu
 
Yaani huku root nyingi naona ni magari ya Kahama-Bariadi, Kahama - Mwanza, Kahama -Katoro, Kahama -Katoro -Mwanza mpaka usiku🤔🤔😂😂😂
Huko wateja wa Dar lazima wawepo, maana mna ardhi nzuri ila mumejikita kuimba kwaya ambayo connection ziko Dar...

Mtu kutoka Geita huko Dar hakuna maana kivile...

Akilima, mazao anauza Rwanda na Uganda...

Akichimba madini, masoko yapo hapo hapo...

Dar wanaenda kunywa mchuzi wa pweza labda, ndio maana route za dar sio nyingi.
 
Endelea kubwabwaja wenzio ndo wanakwenda umejua kunyanyua mapaa ndo mji
Harafu huo ushamba umejaa sana huko Usukumani ,watu wanaenda na nyumba za Kisasa wao wanashindana kunyenyua mapaa,ujinga na ushamba
 
Endelea kubwabwaja wenzio ndo wanakwenda umejua kunyanyua mapaa ndo mji
😂😂😂😂weka nyumba za matajiri tuzione si mnasema huku tumejaa maskini 🤣🤣 nimeshapost nyumba zetu huku sisi maskini hazina kutu vitu vimetulia nasubiri nione makazi ya matajiri makambako na njombe yaliyojaa kutu afu migongo ya tembo na kutu juu 😂😂😂
 
Leta uwekezaji mkubwa wa viwanda kama huu wa makambako sio unatuletea mapaa hapa
img_20231229_162822_144-jpg.3115126
fb_img_16684255023408367-jpg.3115100
fb_img_16864983726837659-jpg.3115098
Lami Katoro iko sehemu ndogo, ukuaji ma mji ni mkubwa kuliko juhudi za miundo mbinu, lakini bado huwezi ukailinganisha Katoro na vitu vya ajabu kama makambako
1717603941823.jpg
1702914137702.jpg
1725532780108.jpg
IMG_20240105_103207_102.jpg
L
 
Attachments

  • IMG_20231229_162822_144.jpg
    IMG_20231229_162822_144.jpg
    564.3 KB · Views: 10
  • FB_IMG_16684255023408367.jpg
    FB_IMG_16684255023408367.jpg
    102.3 KB · Views: 10
  • FB_IMG_16864983726837659.jpg
    FB_IMG_16864983726837659.jpg
    113.5 KB · Views: 10
  • IMG_20231229_162328_491~2.jpg
    IMG_20231229_162328_491~2.jpg
    124.7 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16708237229046005.jpg
    FB_IMG_16708237229046005.jpg
    103.7 KB · Views: 2
😂😂😂😂weka nyumba za matajiri tuzione si mnasema huku tumejaa maskini 🤣🤣 nimeshapost nyumba zetu huku sisi maskini hazina kutu vitu vimetulia nasubiri nione makazi ya matajiri makambako na njombe yaliyojaa kutu afu migongo ya tembo na kutu juu 😂😂😂
Kama kawaida yako kupost kajengo kamoja kamoja, sijui huwa unaficha nini 🤭🤭🤗🤗
ACha kujitetea angalia Hawa ndo matajir sio wanaonyanyua mapaa zilipendwa hizo Raman now zpo nyingi mno ushamba tu
 
Back
Top Bottom