Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Sema Watu wengi mnapicha tofauti sana ya Kahama! Kinachoikuza Kahama si Madini.. japo yameipa umaarufu mkubwa.

Kinachoikuza Kahama ni Kilimo tena.. Mchele. 🙂 Na Biashara. Kama imekuwa soko tangu miaka hiyoooo.. Watu wanafuata mitumba na wakati wa magendo kwa sababu ya kuwa strategically located.

Tangu mtikisiko wa kiuchumi uanze ujumlishe na Corona juu Kahama imeendelea kukua.. Na sasa inajipanga Kuwa Manispaa. Wale washavuka mji wa kukua ama kufa kwa kutegemea mitikisiko ya kiuchumi..

Kingine tunachokosea ni namna tunayoipima miji hii.. per capita ya mkoa haimaanishi fedha hiyo inatumika Njombe.. ila inapatikana kupitia Njombe. Cha kupima ni matumizi.. kiasi gani kinatumika ndani ya njombe!? Kinahama mikono ndani ya njombe!?

Kwa mzunguko mkubwa wa fedha ni dalili sehemu tajwa ni kubwa.. sasa kwa ukubwa siwezi kulinganisha Njombe na Kahama.. Kahama is almost double the size ya Njombe.. kwa mzunguko wa kifedha sidhani kama Tunapaswa kuliangalia.. kwa kanda ya ziwa Kahama iko nyuma ya Kwanza tuu.. kwa kupitia njia ya kati mpaka dsm inazidiwa na Dodoma, Morogoro na DSM pekee.. 🙂

Kahama per capita lazima iwe ndogo unapokuwa umezungukwa na wilaya za Ushetu, Msalala, Kishapu, Shinyanga Vijijini zenye mapato ghafi kidooogo sana.. huku mzalishaji mkubwa akiwa Kahama TC na Shinyanga MC pekee.
Kahama ni mji wa kipekee sana Tanzania, kanda ya ziwa nzima wa kumtikisa Kahama ni Mwanza jiji tu. Ndio maana wadau wakaona waipeleke Kagera hasa Bukoba mji kupambana na Njombe mji kwa sababu hiyo Bukoba makao makuu ya mkoa wa Kagera haina kifua cha kupambana na Kahama.
 
Kwa hiyo hapo Kahama TC mnalima mchele?[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
 
sio maneno ni ukweli mkuu.Kama kwa miaka nane tu tumekua watatu kwa per Capita Income baada 20yrs tutakua namba moja 1 Kwa sababu Njombe ina diversity kubwa ya shughuli za kiuchumi na haitegemei sector moja kama kahama au sehemu zinazofanana.Fikiria mkoa wa kilimanjaro isingekua utalii ungekuwaje baada ya kuyumba kwa Kahawa.Kagera nayo angalau inadicersity kahawa,ndizi,Miwa kidogo,chai kidogo sio mbaya.Lakini Kahama ikianguka sector ya madini kama ilivyotokea kwenye baaadha ya miji ya Zambia hali inakua ngumu labda kuwepo akili ya kutransform.
Huku value addition kwenye bidhaa ndio kwake sasa linganisha na spirit ya uchapakazi wa watu wake lazima maisha yawe bora Njombe
Pili serikali ya Magu iko mbioni kujenga mabwawa makubwa 2 ya kuzalisha umeme,sasa hiyo miundombinu unaendaga na kuboresha barabara na huduma zingine,refer mazungumzo ya Magu na Xi Ping
 
Mapato ya Kahama mwaka wa fedha ulioishia yaani 2019/2020 hadi April yalikuwa 4.0 bln pekee which means by June walifikia around 5.1 bln pekee wakati wenzao Njombe ilivuka malengo na kufikia 4.1 bln by June 2020.Sasa ukiangalia hapo Njombe inafunga gap kwa haraka sana huku Kahama ikiwa stagnant au kupungua over years.
Hii inatranslate kwamba shughuli mpya za kiuchumi ni hamna au watu wanafunga biashara kwa hasara,angalia jedwali hili hapa chini sehemu iliyoandikwa Muhtasari wa Mapato
 
Attachments

Kwa lake zone..kahama inazidiwa na Mwanza labda na Tarime.njombe sijafika
 
Mapato ya Kahama mwaka wa fedha ulioishia yaani 2019/2020 hadi April yalikuwa 4.0 bln pekee which means by June walifikia around 5.1 bln pekee wakati wenzao Njombe ilivuka malengo na kufikia 4.1 bln by June 2020.Sasa ukiangalia hapo Njombe inafunga gap kwa haraka sana huku Kahama ikiwa stagnant au kupungua over years.
Hii inatranslate kwamba shughuli mpya za kiuchumi ni hamna au watu wanafunga biashara kwa hasara,angalia jedwali hili hapa chini sehemu iliyoandikwa Muhtasari wa Mapato
🙂
 
Mapato, built up area, idadi ya Watu, vyanzo vya mapato na location
Sasa unadhani Tarime hayo hayapo mkuu?nzuri zaidi Tarime kuna boda ya sirali pale na hali ya hewa nzuri vitu ambavyo kahama hakuna.
 
Ili uwe mji haya lazima yawepo... Kubwa mkubwa haya lazima yawe makubwa zaidi kwenye kulinganisha.

Kahama ni mji wapili kwa ukubwa wa built up area kanda ya ziwa nyuma ya mwanza.

Ni wa pili kwa idadi kubwa ya Watu kanda ya ziwa na wa nane kwa wingi wa Watu nchini.. Tarime Haimo hata katika 30bora.

Mapato Kahama ni ya pili Kanda ya ziwa.. nk..nk.. Hiyo ndio maana ya kuyataja

Plus ingekuwa mazingira ni kipimo pekee cha mji kubwa Moshi na Lushoto kungeizidi Dar es salaam.. 🙂 sadly it's not.
 
Huduma kama hizi za Aga Khan Hospital zinapatikana kwenye miji kama KAHAMA, MWANZA, DSM, ARUSHA na kwa baadhi ya makao makuu ya mikoa yenye potential, sijajua kama NJOMBE zipo ?
1608883189838.png
 
Kahama ni mji wa kipekee sana Tanzania, kanda ya ziwa nzima wa kumtikisa Kahama ni Mwanza jiji tu. Ndio maana wadau wakaona waipeleke Kagera hasa Bukoba mji kupambana na Njombe mji kwa sababu hiyo Bukoba makao makuu ya mkoa wa Kagera haina kifua cha kupambana na Kahama.
Please tengua kauli bukoba municipal huwezi linganisha na miji ya kusini huko.
Bukoba itabaki kuwa bukoba na identity yake kama mji muhimu na wa kihistoria kanda ya ziwa na Tz kwa ujumla.
Bk tz
FB_IMG_16083902552233019.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom