TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

Hope mkuu mchango wako huu utasomwa na wengi, ajali SIO kazi ya Mungu it's someone fault, wenyeji wa huko pls hii ajali imetokea kwenye Highway?maana trekta halikutakuwa kuwepo hapo, pili hii ni tabia chafu sana,why uweke majani badala ya kutumia triangle 🔺️ ili kuonya other drivers?maana hii triangle 🔺️ ingewekwa kwenye umbali unaokubalika mwenye hiace angeionana ange slow down ,tatizo jingine kubwa magari yetu mengi yapo unroadworthy
 
Wakati si milele na sasa imetimia muda wao wa kurudi kwako Baba. Poleni wana familia
 
Ungefanya nini?
 
Reactions: y-n
Ni nadra sana kukuta tela la trekta lina taa za nyuma,kwa hapa bongo nadra sana....hivyo yangepigwa marufuku tu kutembea usiku.
 
Pole kwa wafiwa, Mungu awaponye majeruhi.
Wizara ya mambo ya ndani kwa kutumia jeshi la police la usalama barabarani lifanye msako wa vyombo vyote ambavyo havina sifa ya kuingia barabarani visiingie barabarani.
Binafsi safari za usiku sizipendi kwa sababu vipo vyombo vingi vya usafiri barabarani havina vigezo vya kuwa barabarani. Mfano mdogo tu haya malori mengi yanaharibikia maeneo mabaya sana. Dereva usipokuwa makini unayavaa yakiwa tamepaki.
 
Inanikumbusha boda boda mmoja pale mapinga.
Kuna Lori la cement limetoka kushusha likagongana na gari la maji la afya.njia ikawa imefungwa na hayo magari.ilikuwa usiku sana.yule bwana na haraka zake yuko speed balaa watu wanammulika tochi lakini wapi.asikii Wala haoni akaenda kugonga ubavuni mwa gari la cement akalala juu .na kiuno akateguka.
Tuweni makini madereva mwendo kasi haufai
 
So sad,hii ajari imesababisha kifo cha mdogo wangu kwenye hiyo IST,laiti ningemkamata dereva wa hilo trekta,ningemtatua malinda bila kalainishi.
 
Wabongo tunakufa kindezi sana

Siku zote usalama wako unaanzia na wewe

Mwenyewe....

Kwanza tractor zingepigwa maarufuku kutembea usiku
Maana nyingi hazina taa
Wanaziendesha kwa mazoea tu

Ova
 
Alikufa?
 
Alafu utakuta huyo boda alikuwa speed hku kaninginiza mguu chini
Kaweka singeli kwa sauti ya juu
Hana habari

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…